Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

kila siku ukiamka salama ni zawadi kutoka kwa MUNGU . ni vyema kufanya maamuzi kwa ajili ya leo na kesho
 
Hakuna kufeli
IMG_20211109_070831_284.jpg
 
Ukali wa jua suluhu yake ni maji mengim.. na sisi ndio wachimba maji mengi
 
Niko na swali moja hapa. Nmechimba shimo la choo takriba mita kama 9 nmepata dalili za mwanzo za maji. Sasa nauliza hivi inawezekana nikatumia shimo la choo alafu hapo hapo nikaweza kutumia yale maji ya kisima kwa kuyatega kwenye ule mkondo wake maana mkondo wa maji unapotokea na kuelekea umeonekana. Yani kwamaana ningine nikwamba nikaweza kitenganisha sehemu mbili ndani ya shimo moja huku upande moja nikitumia kama choo na sehemu nyingine kama kisima cha maji... ila maji ya kisima ni kwa shuhuli kama za umwagiliaji mauwa
 
Labda wenye uzoefu na hilo watupe mafunzo...

Sisi tujuacho ni kuchimba visima km hv
IMG_20211109_070836_793.jpg
 
Niko na swali moja hapa. Nmechimba shimo la choo takriba mita kama 9 nmepata dalili za mwanzo za maji. Sasa nauliza hivi inawezekana nikatumia shimo la choo alafu hapo hapo nikaweza kutumia yale maji ya kisima kwa kuyatega kwenye ule mkondo wake maana mkondo wa maji unapotokea na kuelekea umeonekana. Yani kwamaana ningine nikwamba nikaweza kitenganisha sehemu mbili ndani ya shimo moja huku upande moja nikitumia kama choo na sehemu nyingine kama kisima cha maji... ila maji ya kisima ni kwa shuhuli kama za umwagiliaji mauwa
Kuona maji sio kwamba mdo umepata maji, underground water yanayozungumzia huchimbwa kwa mashine kwa sababu lazima utoboe mwamba ambao huwezi kutoboa na jembe la mkono, hayo maji uliona ni shallow water ambayo hayana uwezo wa kuoccupy uwezo wa pump kunyonya maji na sio sustainable kwa sababu at certain condition yanakauka kabisa ila maji ya mwamba ni sustainable at any condition.
Nafikili umenielewa.
 
Msumari wa moto
 
kutokana na mvua kupungua maeneo mengi nchini hali ya miundombinu imeanza kukaa sawa hivyo kufungua fursa kwa wale wote ambao wanatamani kuchimba visima majira haya. Nipende kuwajulisha kuwa tupo tayari kukuhudumia na kufanya kazi yako kwa ufanisi wa hali ya juu kabisa.

huduma zetu zina ubora wa kiwango cha hali ya juu saana ..

karibuni saana
ZAIDI........wasiliana nasi kwa 0752 925 925
 
Karibu leo kwa maswali na kujielimisha bure kuhusu uchimbaji wa kisima kirefu mashamban, nyumban, viwandan nk
Mkuu maji yanayopatikana kwenye visima vyenu yanaweza kuhudumia shamba kilimo kama ekari ngapi? Mfano Nyanya
 
Inategemea na mfumo wa umwagiliaji. Mfano umwagiliaji wa kawaida ni kati ya ekari 1-7 lakn umwagiliaji wa matone ni kati ekari 1-25 kwa kisima kimoja
 
Asante kwa ufafanuzi. Wakati tukifikiria kuwatafuta je uzoefu wenu unaonesha maji yanapatikana kwa kina cha urefu kiasi gani hasa maeneo ya Dar Mfano Kimara? Kama una uzoefu tafadhali
 
Kati ya mita 50-120. Karibu saana
 
Back
Top Bottom