Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wenye uzoefu na hilo watupe mafunzo...Niko na swali moja hapa. Nmechimba shimo la choo takriba mita kama 9 nmepata dalili za mwanzo za maji. Sasa nauliza hivi inawezekana nikatumia shimo la choo alafu hapo hapo nikaweza kutumia yale maji ya kisima kwa kuyatega kwenye ule mkondo wake maana mkondo wa maji unapotokea na kuelekea umeonekana. Yani kwamaana ningine nikwamba nikaweza kitenganisha sehemu mbili ndani ya shimo moja huku upande moja nikitumia kama choo na sehemu nyingine kama kisima cha maji... ila maji ya kisima ni kwa shuhuli kama za umwagiliaji mauwa
Kuona maji sio kwamba mdo umepata maji, underground water yanayozungumzia huchimbwa kwa mashine kwa sababu lazima utoboe mwamba ambao huwezi kutoboa na jembe la mkono, hayo maji uliona ni shallow water ambayo hayana uwezo wa kuoccupy uwezo wa pump kunyonya maji na sio sustainable kwa sababu at certain condition yanakauka kabisa ila maji ya mwamba ni sustainable at any condition.Niko na swali moja hapa. Nmechimba shimo la choo takriba mita kama 9 nmepata dalili za mwanzo za maji. Sasa nauliza hivi inawezekana nikatumia shimo la choo alafu hapo hapo nikaweza kutumia yale maji ya kisima kwa kuyatega kwenye ule mkondo wake maana mkondo wa maji unapotokea na kuelekea umeonekana. Yani kwamaana ningine nikwamba nikaweza kitenganisha sehemu mbili ndani ya shimo moja huku upande moja nikitumia kama choo na sehemu nyingine kama kisima cha maji... ila maji ya kisima ni kwa shuhuli kama za umwagiliaji mauwa
Msumari wa motoKuona maji sio kwamba mdo umepata maji, underground water yanayozungumzia huchimbwa kwa mashine kwa sababu lazima utoboe mwamba ambao huwezi kutoboa na jembe la mkono, hayo maji uliona ni shallow water ambayo hayana uwezo wa kuoccupy uwezo wa pump kunyonya maji na sio sustainable kwa sababu at certain condition yanakauka kabisa ila maji ya mwamba ni sustainable at any condition.
Nafikili umenielewa.
Maji ni uhaiKisima kisima kisima. Chimba kisima chako kwa bei nafuu kabisa kwa matumizi ya kilimo, mifugo na matumizi mengine.
Karibu upate huduma yenye thamani ya pesa yako bila kujutia.
Mawasiliano: 0752925925/0682276767 .
Karibu saanaView attachment 1692341View attachment 1692342
Mkuu maji yanayopatikana kwenye visima vyenu yanaweza kuhudumia shamba kilimo kama ekari ngapi? Mfano NyanyaKaribu leo kwa maswali na kujielimisha bure kuhusu uchimbaji wa kisima kirefu mashamban, nyumban, viwandan nk
Inategemea na mfumo wa umwagiliaji. Mfano umwagiliaji wa kawaida ni kati ya ekari 1-7 lakn umwagiliaji wa matone ni kati ekari 1-25 kwa kisima kimojaMkuu maji yanayopatikana kwenye visima vyenu yanaweza kuhudumia shamba kilimo kama ekari ngapi? Mfano Nyanya
Asante kwa ufafanuzi. Wakati tukifikiria kuwatafuta je uzoefu wenu unaonesha maji yanapatikana kwa kina cha urefu kiasi gani hasa maeneo ya Dar Mfano Kimara? Kama una uzoefu tafadhaliInategemea na mfumo wa umwagiliaji. Mfano umwagiliaji wa kawaida ni kati ya ekari 1-7 lakn umwagiliaji wa matone ni kati ekari 1-25 kwa kisima kimoja
Asante sanaKati ya mita 50-120. Karibu saana