Tunaunga mkono kwa kauli ya RC kurudisha mabasi yote katika stendi ya Magufuli Mbezi

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.

Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.

Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.

Soma Pia https://www.jamiiforums.com/threads...wiki-moja-kurejea-stendi-ya-magufuli.2461687/
 
Shabiby ,BM na Abood wanasemaje?
 
Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Hoja siyo mapato, kama ni mapato bila kuangalia ufanisi na nafuu kwa wasafiri basi hiyo siyo huduma ni ukandamizaji na unyonyaji. Kwani kuna ubaya gani basi likishusha abiria wa Mbezi na kuendelea mjini na waendao huko?
 
Mnataka tu kuongeza ugumu kwa watanzania, kwanza hyo stendi haitatosha ku hold mabus ya kwenda mikoa yote
Hakuna ugumu ila wabongo tunapenda kufanya mambo kiholela.
Stendi ya kisasa ipo pale mbeze.
Sasa msongamqno wa nini huko shekilango.
Ningekuwa LATRA ningefuta mara moja hivyo vibali vya makampuni 6. Mabasi yote yapaki Stendi ya Magufuli.
Ukishuka tu magufuli daladala zipo pale, mwendo kasi zipo, boda n.k, hakuna ugumu wowote
 
Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.

Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.

Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.

Soma Pia https://www.jamiiforums.com/threads...wiki-moja-kurejea-stendi-ya-magufuli.2461687/
Naunga mkono hoja ,mabasi yarudi stand kuu ,abiria waende kupakia stand ya magu ,hizo sehemu zibaki kama ofisi tu zao za kukatia tiketi.

Bodaboda/Bajaji/Daladala watapata fedha zaidi.
 
Hoja siyo mapato, kama ni mapato bila kuangalia ufanisi na nafuu kwa wasafiri basi hiyo siyo huduma ni ukandamizaji na unyonyaji. Kwani kuna ubaya gani basi likishusha abiria wa Mbezi na kuendelea mjini na waendao huko?
Hata ukienda Nairobi, Zambia na majiji mengine duniani huwezi kukuta utaratibu kama huu wa kibingo kila basi lina stendi yake!! hii iko bongo tu sehemu isiyo heshimu taratibu. Tuache mazoea ya kishamba.
 
Nairobi kuna stendi gani umefika river road? nenda utaona uliza hata kidia na wenzie wanapaki gari wapi, Tanzania tuko mbali sana.
 
Eneo limejengwa ku accomodate mabasi yote hayo ,ndiyo maana ikaitwa STAND KUU.

Miundombinu imejengwa kuserve abiria wanaushuka pale ,kama abiria hawashuki stand kuu means biashara za pale zitakufa na hiyo project itakuwa ni WHITE ELEPHANT.
Abiria tupo served vizuri zaidi kwenye office za mabus kuliko hapo stendi na Wala hatujawahi kuona ni kero kwetu
 
Back
Top Bottom