King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Tiketi kakate kwenye hizo ofisi ila ukitakata kupanda gari lazima uende stand Kuu ndiyo utakuta hayo magari.Abiria tupo served vizuri zaidi kwenye office za mabus kuliko hapo stendi na Wala hatujawahi kuona ni kero kwetu
Hawajazuia hizo ofisi kuoperate mitaani ,wamezuia mabus kupaki huko mitaani badala ya STAND KUU.
Wapokee hata hiyo mizigo hapo ofisi ndogo na kuchukuliwa na carry kwenda stand kuu kwa ajili ya kuipaki.