Tunaunga mkono kwa kauli ya RC kurudisha mabasi yote katika stendi ya Magufuli Mbezi

Tunaunga mkono kwa kauli ya RC kurudisha mabasi yote katika stendi ya Magufuli Mbezi

Hata ukienda Nairobi, Zambia na majiji mengine duniani huwezi kukuta utaratibu kama huu wa kibingo kila basi lina stendi yake!! hii iko bongo tu sehemu isiyo heshimu taratibu. Tuache mazoea ya kishamba.
Tusifanye mambo kwa kuiga fulani tufanye mambo fulani atuige kwa kuangalia manufaa mapana kwa jamii
 
Tiketi kakate kwenye hizo ofisi ila ukitakata kupanda gari lazima uende stand Kuu ndiyo utakuta hayo magari.

Hawajazuia hizo ofisi kuoperate mitaani ,wamezuia mabus kupaki huko mitaani badala ya STAND KUU.

Wapokee hata hiyo mizigo hapo ofisi ndogo na kuchukuliwa na carry kwenda stand kuu kwa ajili ya kuipaki.
Huu utaratibu utaongeza gharama zisizo za lazima alafu kwa upande wa mizigo ya abiria itapotea sana, na mingine kuharibika, kutokana na kutokana na kuhamishwa hamishwa, yani mimi niache mzigo pale shekilango afu shattle iuchukue mzigo mpaka mbezi mwisho, ndo upakiwe, hizo process unaweza chukulia pouwa ila katika operations sio mchezo
 
Hizo mini bus zina kitu gani kipya tofauti na mabasi yenyewe?
Town min buses zinafanya safari za kutoa abiria stand terminal kwenda mjini,,
Then kila mtu anashuka anapanda usafiri wa kwao.


Mbn sijawahisikia mtu analalamka bandarini mbali?
Au airport mbali?
.
 
Huu utaratibu utaongeza gharama zisizo za lazima alafu kwa upande wa mizigo ya abiria itapotea sana, na mingine kuharibika, kutokana na kutokana na kuhamishwa hamishwa, yani mimi niache mzigo pale shekilango afu shattle iuchukue mzigo mpaka mbezi mwisho, ndo upakiwe, hizo process unaweza chukulia pouwa ila katika operations sio mchezo
Huo ndy utaratibu
 
Mbn sijawahisikia mtu analalamka bandarini mbali?
Au airport mbali?
Kwa sababu 90% ya watu wanaoenda Airport wanaenda na usafiri wao gari zao binafsi au za kukodi wakati 90% ya wanaoenda kupanda mabasi wanatumia daladala na boda.

Kama tungekuwa na uwezo wa kuipeleka bandari Mbeya ili hata magari ya Zambia Malawi na DRC yasifike Dar tungekuwa wajinga kama tusingefanya hivyo.
 
Tiketi kakate kwenye hizo ofisi ila ukitakata kupanda gari lazima uende stand Kuu ndiyo utakuta hayo magari.

Hawajazuia hizo ofisi kuoperate mitaani ,wamezuia mabus kupaki huko mitaani badala ya STAND KUU.

Wapokee hata hiyo mizigo hapo ofisi ndogo na kuchukuliwa na carry kwenda stand kuu kwa ajili ya kuipaki.
Nadhani mabus hayapark tu Bali kupakia abiria. Halafu tuangalie maslahi ya abiria pia.
 
Busara itumike maana Magufuli Bus terminal iko pembezoni sana mwa mji hivyo inafanya ugumu wa kufikika kwa urahisi kwa wakazi DSM wanaoishi maeneo kama Chanika, Msongola, Mbande na Kigamboni.

Ukifikiria gharama na changamoto ya kusafiri na mizigo (maana wabongo tunajijua huwa hatuna shughuli ndogo tukiwa tunaenda ama kutoka mikoni) inakuwa shida sana kwakweli.

Hili lingefanikiwa kwa 100% ikiwa stand ingekuwa ipo katikati ya mjini ambapo no rahisi kufikika kwa wakazi wa maeneo yote ya Jiji la DSM.

Kama lengo ni kuhakikisha stand haikosi mapato wanaweza wakatemgeneza mkakati wa kuweka ulazima wa haijalishi wapi utaanzia safari yako, ila ni lazima upite hapo Magufuli bus terminal. Naamini hakuna mmiliki atakayekaidi amri hii.
Mbona ndio wanafanya huo utaratibu kwa Sasa. Kila bus lazima lipite mbezi na kulipa mapato
 
Town min buses zinafanya safari za kutoa abiria stand terminal kwenda mjini,,
Then kila mtu anashuka anapanda usafiri wa kwao.


Mbn sijawahisikia mtu analalamka bandarini mbali?
Au airport mbali?
.
Jibu unalo. Bandari na Airport zinakuwa static tofauti na stendi ya mabasi ipo flexible sana.
 
Back
Top Bottom