mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Haiwezekani mitaani kuwe na stand kila mahali,Jibu unalo. Bandari na Airport zinakuwa static tofauti na stendi ya mabasi ipo flexible sana.
Hilo halipo popote duniani kwenye inchi zilizoendelea.
Unaposafiri jipange..
Miaka ya 80/90 mabasi yalikuwa kisutu na watu walikuwa wanakwenda na hapakuwa na ofisi mitaani..
Na hakuna malalamiko.
Mabasi yalikuwa ubungo na hakuna malalamiko.
Kwann Stand ya Magufuli malalamiko lukuki?
Wanaolalamika wengi wana maslahi na ofisi kuwa mitaani.