Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
Hao member wengi wa chama cha wamiliki mabasi (TABOA) wengine ni makada wa chama tawala ili suala ilikuwa wanamaliza mapema. Miaka ya nyuma TABOA ilikuwa na mwenyekiti mtata sana Mr Mabrouk