Tunaunga mkono kwa kauli ya RC kurudisha mabasi yote katika stendi ya Magufuli Mbezi

Tunaunga mkono kwa kauli ya RC kurudisha mabasi yote katika stendi ya Magufuli Mbezi

Miji mingi duniani sio lazima uende mpaka stendi kuu bali unaweza kupandia au kushuka road bay kama una ticket yako

Makosa yalianza walipojenga stendi kubwa hivyo
Bora zingekuwa sehemu za kushushia watu hata pembeni mwa Barabara kama majiji makuu ya Ulaya
Traffic itakuwepo tu
 
Nikusaidie. Zamani stendi zilikuwa tatu. Kisutu, kariakoo na


Sio kisutu tu hata Kariakoor mabasi yalikuwa yanadhusha na kupakia.
Sawa ila Stand ya mkoa ilikuwa Kisutu,hapa hizi kelele ni sababu ya mazoea, mimi na amini hata mbezi tutazoea cha msingi abiria kuwa na nidhamu ya muda.
 
Yale yale unazani kila mtu mwanasiasa, mara kwanza Stand ilikuwa Kisutu, kabla ya kupelekwa Ubungo? Vipi hapa napo.......

Unaposema Ubungo ni katikati ya wilaya zote za Dar sikuelewi? Unaongelea dimensionally au mazoea? Maana mwanzoni watu walizoea Stand ilikuwa Kisutu,ilivyo hamishwa Ubungo, still walilalamika kama wewe unavyo lalamikia Mbezi,ila wakazoea. So now imeamishiwa Mbezi watazoea kama ilivyokuwa Ubungo,msipende kuingiza siasa kwenye kila kitu, sijui discussion mara ziundwe kamati kupoteza mda,sometimes kinachotakiwa ni maamuzi ya mtu mmoja.
Mimi nakuambia waliobuni ubungo unaanza kuishambulia Mimi. Waliona ubungo ni meeting point nzuri ya mabasi. Kama unataka kawabishie hao. Ila hakuna justification ya kupeleka stendi Mbezi. Dar sio Mkuranga kwamba unapeleka nje ya mji ili mji ukue. Dar ilishakuwa na imejaa.
 
Na sisi uku Mwanza tunaomba Mkuu wa mkoa Mh Saidi Mtandao...tuondoshee hizi ofisi za mabasi apa NATA warudi Nyegezi kule kuliko na stendi kubwa iliyojengwa Kwa gharama kubwa pesa za Wananchi.
Sababu ya kwanza kuwaondosha apa NATA ni kupunguza jammm ya magari pamoja na Bajaji
Pili ni kurejesha na kutanua mji wa Mwanza kibihashara...hasa maeneo ya Nyegezi na Vitongoji vyake....
Tatu kufanya stendi ya mabasi Nyegezi kutengeneza mzunguko wa pesa na kuingizia mapato stendi pamoja wafanyabiashara maeneo ayo.
Lamwisho kabisa...kuzuia mabasi yasiingie mjini hasa NATA kutafanya biashara /mzunguko Kwa daladala pamoja bajaji /teksi kufanya biashara na mwisho wa siku kukuza huchumi wa mtu mojamoja.
 
Mimi nakuambia waliobuni ubungo unaanza kuishambulia Mimi. Waliona ubungo ni meeting point nzuri ya mabasi. Kama unataka kawabishie hao. Ila hakuna justification ya kupeleka stendi Mbezi. Dar sio Mkuranga kwamba unapeleka nje ya mji ili mji ukue. Dar ilishakuwa na imejaa.
Kwani waliobuni Ubungo na Waliobuni Mbezi wanautofauti gani? Hebu niambie wewe,maana unazunguka unarudi palepale, maana aliyebuni Kisutu ndio hao hao wamebuni Ubungo na baadae wakabuni Mbezi au wewe unaona walibuni watu tofauti?
 
Mbona zamani wote waliishia ubungo nini kinawafanya sasa hivi washindwe kuishia mbezi
 
Nyie ndio mnaofanya wanaolazimisha stand ibaki Mbezi waonekane wana hoja. Maana hamna hoja ya maana mnazubgukazunguka tu.
Nani kakataa stendi isiwe Mbezi?. Stendi iwepo ila mabasi yaruhusiwe kuwa na stendi binafsi za kushushia abiria wa mbali. Kajifunzeni Mwanza wanavyofanya.
 
naimani hata watangulizivwalio ruhusu izo ofisi wliliona hili mwanzo wakachukua hatu kupunguza usumbufu na kero za wakaazi wa dar ila naona tunataka kurudi kule kule tena dah😄
Mimi naona kuktaza stendi binafsi ndio kurudi kwenye tatizo. Dar Ina watu milioni tano na wilaya Tano halafu stendi ni Moja Tena nje ya mji.
 
Na sisi uku Mwanza tunaomba Mkuu wa mkoa Mh Saidi Mtandao...tuondoshee hizi ofisi za mabasi apa NATA warudi Nyegezi kule kuliko na stendi kubwa iliyojengwa Kwa gharama kubwa pesa za Wananchi.
Sababu ya kwanza kuwaondosha apa NATA ni kupunguza jammm ya magari pamoja na Bajaji
Pili ni kurejesha na kutanua mji wa Mwanza kibihashara...hasa maeneo ya Nyegezi na Vitongoji vyake....
Tatu kufanya stendi ya mabasi Nyegezi kutengeneza mzunguko wa pesa na kuingizia mapato stendi pamoja wafanyabiashara maeneo ayo.
Lamwisho kabisa...kuzuia mabasi yasiingie mjini hasa NATA kutafanya biashara /mzunguko Kwa daladala pamoja bajaji /teksi kufanya biashara na mwisho wa siku kukuza huchumi wa mtu mojamoja.
Nata ni stendi inauotambulika. Mwanza stendi ni tatu, Nyegezi, Nata na Nyamhongolo. Ila Mwanza wanautaratibu mzuri basi lazima liingie stendi.
 
Hapo 50/50 kati ya serikali na raia wake.

Serikali inaangalia mapato yake sana sana pale gatepass raia tunaingia kwa kulipia.

Raia wao wana_angalia gharama + usumbufu wanaona mfumo wamabasi kupakia kwenye stand zao ni mzuri kwa sababu inawaepushia na gharama + usumbufu.
MFANO abiria akipandia mbagala atakuwa kaokoa pesa yake ya nauli kutoka mbagala to mbezi stand, hapo hajapata usumbufu wa yeye na mizigo yake ambayo makonda wengi wanaikata lakini pia mwendokasi hawaruhusu mizigo bodaboda nae atakupa bei juu sometimes inakubidi uchukue boda mbili kutoakana na mizigo yako(kwa kipato kipi cha wabongo?). So hapo ni mtanange mzito 50/50.
Advantage ya maBUS kuanzia stand kuu yanakaguliwa na Vehicle Inspectors na pia madereva hupimwa vilevi kabla ya kuondoka ,wakianzia huko madongo poromoka pasipo kuwa na supervision ni hatari.
 
Assume mtu anakaa Kigamboni au Chamazi na anatakiwa kuliwahi bus linaloondoka saa kumi alfajiri pale Mbezi itabidi aamke saa ngapi na atumie usafiri gani wa kumfikisha Mbezi?
Sasa wenye mabus wamejitolea bure kusogeza huduma karibu na maeneo yenu kwa gharama zao wananchi mnalalamika tena lipi jema kwenu
Hakuna Sehemu yeyote yenye Changamoto ,Kigamboni kuna njia mbili Boti ni 24/7 na Darajani ni 24/7 ,Chamazi Pia ni Mtelezo tena kwa usiku ni Hakuna Foleni ndani ya 1hr ushafika Mbezo Magufuli.

Ukitoka Kigamboni Unapitia Darajani tu unakuja kuibuka Uhasibu ,Unanyoosha Unakuja kuibukia Kijazi Interchange - Unakula Kushoto ukishuka tu MAGUFULI TERMINAL HIYO....Same as Chamazi uwe unatoka Chamazi bamia ,gereji ,maliasili unafika Rangi Tatu hadi Machinjioni Uhasibu -Unakula Kushoto kuitafuta Mandela Road - Kijazi Interchange.
 
Nadhani mabus hayapark tu Bali kupakia abiria. Halafu tuangalie maslahi ya abiria pia.
Usalama kwanza mkuu ,kwenye maslahi vs Usalama ,cha kwanza kuanza ni Usalama.

MaBUS kuanzia huko vichochoroni ni risk ,hayakaguli ,madereva wapo keroro na wanaingia road MBIO MBIO.
 
Huu utaratibu utaongeza gharama zisizo za lazima alafu kwa upande wa mizigo ya abiria itapotea sana, na mingine kuharibika, kutokana na kutokana na kuhamishwa hamishwa, yani mimi niache mzigo pale shekilango afu shattle iuchukue mzigo mpaka mbezi mwisho, ndo upakiwe, hizo process unaweza chukulia pouwa ila katika operations sio mchezo
KUna Option ya kupeleka moja kwa moja Magufuli kwa mizigo ambayo hahitaji purukushani na vipaseli unaweza ukapeleka urafiki/shekilango.
 
Tiketi kakate kwenye hizo ofisi ila ukitakata kupanda gari lazima uende stand Kuu ndiyo utakuta hayo magari.

Hawajazuia hizo ofisi kuoperate mitaani ,wamezuia mabus kupaki huko mitaani badala ya STAND KUU.

Wapokee hata hiyo mizigo hapo ofisi ndogo na kuchukuliwa na carry kwenda stand kuu kwa ajili ya kuipaki.
Kwa mabasi yaliyopo Magufuli stand haiwezi kutosha
Abood peke yake ana basi zaidi ya 100
 
Back
Top Bottom