Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hakuna haja ya kupoteza pesa kwenda kutembelea huku, mtafute mtu tu anayejua Kingereza akutafsirie haya maelezo kuhusu Seoul ya Korea Kusini iliyo na ukubwa sawa na Dar👇Ila huwezi kuruhusu kila basi kuwa na stand yake, huo ni upumbavu na kukosa dirt kama jiji. Tutembee kudogo mataifa yaliyoendelea tujifunze jamani, sio kwenda kushangaa magorofa na njia 18 za barabara.