mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Kwahyo watu wote wanaofanya kazi posta wanaoshi kisutu?Mimi nimepangiwa na Serikali kufundisha shule Chanika na ni mwenyeji wa Mwanza. Nifanyaje?
Pangilia muda wako vzr uwahi kazini..
Kufanya kazi eneo fulani haimaanishi kwmba ndy ujenge au kuhamia huko..
Angalia na location ya kwenu ili msisumbuke kwenye usafiri..