Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.
Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.
Soma Pia
https://www.jamiiforums.com/threads...wiki-moja-kurejea-stendi-ya-magufuli.2461687/