Mabasi makubwa ni backup ya mwendokasi na saladala, yanapunguza sana msongamano kwasababu basi kubwa moja linaingia mjini na wastani wa abiria 30 baada ya wengine kushuka Mbezi, abiria hao ni sawa na bajaj za Chalamila 10 anbazo zina usumbufu mwingi kuliko hayo mabasi.Haisaidii
Shabiby ,BM na Abood wanasemaje?Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.
Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.
Hoja siyo mapato, kama ni mapato bila kuangalia ufanisi na nafuu kwa wasafiri basi hiyo siyo huduma ni ukandamizaji na unyonyaji. Kwani kuna ubaya gani basi likishusha abiria wa Mbezi na kuendelea mjini na waendao huko?Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Hoja siyo mapato, kama ni mapato bila kuangalia ufanisi na nafuu kwa wasafiri basi hiyo siyo huduma ni ukandamizaji na unyonyaji. Kwani kuna ubaya gani basi likishusha abiria wa Mbezi na kuendelea mjini na waendao huko?Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Jazia nyama, haisaidii nini na kivipHaisaidii
Hakuna ugumu ila wabongo tunapenda kufanya mambo kiholela.Mnataka tu kuongeza ugumu kwa watanzania, kwanza hyo stendi haitatosha ku hold mabus ya kwenda mikoa yote
Naunga mkono hoja ,mabasi yarudi stand kuu ,abiria waende kupakia stand ya magu ,hizo sehemu zibaki kama ofisi tu zao za kukatia tiketi.Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.
Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.
Soma Pia https://www.jamiiforums.com/threads...wiki-moja-kurejea-stendi-ya-magufuli.2461687/
Hata ukienda Nairobi, Zambia na majiji mengine duniani huwezi kukuta utaratibu kama huu wa kibingo kila basi lina stendi yake!! hii iko bongo tu sehemu isiyo heshimu taratibu. Tuache mazoea ya kishamba.Hoja siyo mapato, kama ni mapato bila kuangalia ufanisi na nafuu kwa wasafiri basi hiyo siyo huduma ni ukandamizaji na unyonyaji. Kwani kuna ubaya gani basi likishusha abiria wa Mbezi na kuendelea mjini na waendao huko?
Nairobi kuna stendi gani umefika river road? nenda utaona uliza hata kidia na wenzie wanapaki gari wapi, Tanzania tuko mbali sana.Hata ukienda Nairobi, Zambia na majiji mengine duniani huwezi kukuta utaratibu kama huu wa kibingo kila basi lina stendi yake!! hii iko bongo tu sehemu isiyo heshimu taratibu. Tuache mazoea ya kishamba.
Kwa nini unataka mabasi yote yarundikane sehemu moja??Naunga mkono hoja ,mabasi yarudi stand kuu ,abiria waende kupakia stand ya magu ,hizo sehemu zibaki kama ofisi tu zao za kukatia tiketi.
Bodaboda/Bajaji/Daladala watapata fedha zaidi.
Eneo limejengwa ku accomodate mabasi yote hayo ,ndiyo maana ikaitwa STAND KUU.Kwa nini unataka mabasi yote yarundikane sehemu moja??
Abiria tupo served vizuri zaidi kwenye office za mabus kuliko hapo stendi na Wala hatujawahi kuona ni kero kwetuEneo limejengwa ku accomodate mabasi yote hayo ,ndiyo maana ikaitwa STAND KUU.
Miundombinu imejengwa kuserve abiria wanaushuka pale ,kama abiria hawashuki stand kuu means biashara za pale zitakufa na hiyo project itakuwa ni WHITE ELEPHANT.