Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Siyo kama anakupiga yeye mwenyewe muuzaji hajui kuna nini ndani..
 
mixer ya Pazia shuka na taulo @350,000 number 1 na @300,000 kww namba 2

pazia mchanganyiko @300,000
Pazia nzito @290,000
pazia za lace @ 420,000
 
Baiubui no 2. @450,000
Mitandio meusi @400,000
 
Ladies skiny jeans no 1 @420,000
Ladies skiny jeans no 2 @320,000
 
Karibuni..
kuna free Delivery kwa baadhi ya mikoa na maeneo ya Dar Es Salaam.
 
Tafadhali namba ya simu ni kwa ajili ya Business.
asanteni.
 
mixer ya Pazia shuka na taulo @350,000 number 1 na @300,000 kww namba 2

pazia mchanganyiko @300,000
Pazia nzito @290,000
pazia za lace @ 420,000
Mixer ya pazia, shuka na taulo.
Kwa makisio apa zinaweza kuwa ngapi ngapi mgawanyo wake.

Afu shuka ni zaina zipi? Na pazia kwenye hii mixer ni zile za lace au.
 
Hili linauma sana
Niliwahi fanya Biashara hii Tanga,nilichukua Mzigo Dar na kupeleka Ta
Dahhhh

Unakutana ndani na vitu vya ajabu ajabu tu
Mbaya zaidi,kuna wakati hata hela ya kununulia mzigo hairudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio changamoto kubwa kwenye haya ma bero!!

Maana waweza chukua mzigo kumbe ushachakachuliwa na kisha umeekewa malonya lonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…