Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Habari yako nimerudi tena, naomba bei ya Balo la jacket reflector, zile carwash wanazotumia waendesha Boda.

 
Habari yako nimerudi tena, naomba bei ya Balo la jacket reflector, zile carwash wanazotumia waendesha Boda.
Hiyo haipo unaweza kuzipata kwenye jacket Mixer
karibu.
 
samples za shuka zinakua pair 25 kwa balo.. shuka mbili foronya nne.. 800,000
 
gauni cotton sample yake..
 
Huna balo la makoti ya suti? Ni Bei gani?
 
Naona mi bei mikubwa sana haya mabalo sio yale kariakoo laki 3
 
Naomba nifahamu wapi nitapata kadeti kwa bei ya jumla na bei yake ni ngapi wanapochukulia maduka ya k/koo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…