Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Punguza bei kidogo Flower.Basi nenda huko ukanunue hakuna aliyekunyima kununua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza bei kidogo Flower.Basi nenda huko ukanunue hakuna aliyekunyima kununua
Wewe nenda shinyanga huu mji shukuru mmepata ml6 heka hakunagaPunguza bei kidogo Flower.
Na mimi nataks kuja huko Chuga.Wewe nenda shinyanga huu mji shukuru mmepata ml6 heka hakunaga
Hati miliki kutoka wizarani au hati ya mauziano ya serikali ya mtaaYes bossy inayo
Maeneo gani boss?Mbona bei kubwa, huku Shinyanga heka unanunua kwa mil 1 tu.
Hati ya wizarani kwa sababu zina biconHati miliki kutoka wizarani au hati ya mauziano ya serikali ya mtaa
Huoni unamteja mjibu basi anunueNa mimi nataks kuja huko Chuga.
Maeneo ya Lyamidati, ukipita Tinde.Maeneo gani boss?
Punguza kidogo mkuu, wengine tutashindwa kuja huko Chuga.Huoni unamteja mjibu basi anunue
Hizi Descrptilon unit za heka ziko sawa una maanisha kilomita au kamaHeka zipo Arusha maeneo Kingori, Kikatiti, Maji ya chai na sehemu zingine.
Heka zilizopo km 4 ni kuanzia ml 11 unaweza kulipia cash au kidogo kidogo.
Heka zilizopo km 5,6,7, na kuendelea unaweza pata kwa ml 8, 7, 6, na ni nzuri kwa kilimo, makazi, na biashara.
Nipigie simu uje ofisini twende ukaone hutojutia muda wako ni vizuri sana.
0699 -22-79-42
Wote mnakaribishwa
Sawa boss, nilidhani pale town.Maeneo ya Lyamidati, ukipita Tinde.
Kumbe na wewe ni dalali bana 😂 sema bei ya billion 2 kila kiwanja nyingi sana punguza KIDOGO!Heka zipo Arusha maeneo Kingori, Kikatiti, Maji ya chai na sehemu zingine.
Heka zilizopo km 4 ni kuanzia ml 11 unaweza kulipia cash au kidogo kidogo.
Heka zilizopo km 5,6,7, na kuendelea unaweza pata kwa ml 8, 7, 6, na ni nzuri kwa kilimo, makazi, na biashara.
Nipigie simu uje ofisini twende ukaone hutojutia muda wako ni vizuri sana.
0699 -22-79-42
Wote mnakaribishwa
Shamba lipo wapi?Equation x njoo kuna shamba nzuri kwa ml 6 ndugu yangu ni 70m kwa 70m
Ndio kmHizi Descrptilon unit za heka ziko sawa una maanisha kilomita au kama
King'ori,kikatiti, na maeneo mengine nipigie simu upange siku uje ukayaoneShamba lipo wapi?
Sijaelwa badoNdio km
Heka zilizopo km 5,6,7, (hizi ni km 5,km,6,km7 )na kuendelea unaweza pata kwa ml 8, 7, 6, (hizi ni kiwango kinachowekwa kuuzia hizi heka ml 8,ml 7,m6)na ni nzuri kwa kilimo, makazi, na biasharaSijaelwa bado
Sijakuelewa ila mie ni dalali wa viwanja nisaidie kupata wateja basi.Kumbe na wewe ni dalali bana 😂 sema bei ya billion 2 kila kiwanja nyingi sana punguza KIDOGO!
Hizi Descrptilon unit za heka ziko sawa una maanisha kilomita au kama
Ndio km
Sijaelwa bado
Sijakuelewa hizo km na ml ni measurement au vitu gani naona umeulizwa huko juu lakini bado hujaeleweka. Aliyeelewa naomba anifafanulie please.Heka zilizopo km 5,6,7, (hizi ni km 5,km,6,km7 )na kuendelea unaweza pata kwa ml 8, 7, 6, (hizi ni kiwango kinachowekwa kuuzia hizi heka ml 8,ml 7,m6)na ni nzuri kwa kilimo, makazi, na biashara
Dah ningekuja tatizo niko mbali huku na tayari wajukuu wameshaambulia vyao...Ndio ila haziko karibu na barabara njoo uwekeze kwa ajili yako na wajukuu hutojutia