Tunauza heka Arusha

Tunauza heka Arusha

Heka zipo Arusha maeneo Kingori, Kikatiti, Maji ya chai na sehemu zingine.

Heka zilizopo km 4 ni kuanzia ml 11 unaweza kulipia cash au kidogo kidogo.

Heka zilizopo km 5,6,7, na kuendelea unaweza pata kwa ml 8, 7, 6, na ni nzuri kwa kilimo, makazi, na biashara.

Nipigie simu uje ofisini twende ukaone hutojutia muda wako ni vizuri sana.

0699 -22-79-42

Wote mnakaribishwa
Hizi Descrptilon unit za heka ziko sawa una maanisha kilomita au kama
 
Kumbe na wewe ni dalali bana 😂 sema bei ya billion 2 kila kiwanja nyingi sana punguza KIDOGO!
 
Hizi Descrptilon unit za heka ziko sawa una maanisha kilomita au kama

Sijaelwa bado

Heka zilizopo km 5,6,7, (hizi ni km 5,km,6,km7 )na kuendelea unaweza pata kwa ml 8, 7, 6, (hizi ni kiwango kinachowekwa kuuzia hizi heka ml 8,ml 7,m6)na ni nzuri kwa kilimo, makazi, na biashara
Sijakuelewa hizo km na ml ni measurement au vitu gani naona umeulizwa huko juu lakini bado hujaeleweka. Aliyeelewa naomba anifafanulie please.
 
Back
Top Bottom