Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

Toyota hilux double cabin
Namba_A
Injin 2L
Diesel
Haina tatizo lolote
inatakiwa exchange na Hiace iliyo kwenye hali nzuri
ukitaka kuinunua Tzsh 7mil
Mawasiliano/whatsap 0759399805
Gari ipo Dar

 
kwa wenye TATA lp 909 iwe ya mlango kati au ya milango miwili kuna route inahitaji gari ,Njia ni km 298 (107 lami,196 vumbi)
kwanini tumependekeza tata
1.ulaji wa mafuta ni mdogo(4cylinder engine)
2.Uimara wa body hasa kwenye njia za vumbi.
ukihitaji hii route tuwasiliane 0759399805

 
Basi namba C
Body yutong F11
Engine_Scania 93
Gearbox scania gia5
Front axle,Diff scania
Bima ipo hai mpaka 13/09/2024
Bei ni Tzsh Mil 39
Gari ni nzima inafanya kazi Dar_Dom
mawasiliano call,sms,whatsap 0759399805
 
Safi Sana tena ina engine ya 93 scania, engine mkataba!, mwenye hela chukua, ipeleke kusini, piga hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…