Nikikuwa nashangaa hz km 124K duh afu ununue 11M?Atakaye nunua hiyo gari atakuwa fala sana. Crown iliyotembea Tz toka 2015 ununue kwa 11ml wakati ukiagiza wapata kwa 12 hadi 14
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio lazima imaanishe hivyo mkuu, ni kweli gari ni ya mchina ila hiyo ni article tu ya uandishi wangu. Ambayo hainisaidii chochote kwenye biashara yangu.Mi nadhani alimaanisha kuwa akiandika chinease owner , itakuwa na sound kuwa gari ilikuwa inatunza vizuri na mchina ni kama vile mpya !!
sent from toyota Allex
Hilo neno "Chinese Owner" linakusumbua nini ndugu yangu? Mbona unaniharibia thread mkuu. Kwakuwa kama gari hujaipenda si hujaipenda tu?Mpumbavu hapa anajulikana ni nani, Chinese owner.
Kwahiyo 124,000 Kms ni nyingi kwa wewe kununua kwa 11m, sio? Usikurupuke mkuu, sio lazima ukosoe kila kitu.
Mkuu ningependa ueleze mashaka yako niyafafanue kwa faida ya wengine pia
Kwahiyo 124,000 Kms ni nyingi kwa wewe kununua kwa 11m, sio? Usikurupuke mkuu, sio lazima ukosoe kila kitu.
.
Kwa hili wajuzi wa magari watakushangaa sana, hizo kms ni CHACHE SANA na ni Genuine (ukifika kwenye gari utajiridhisha kwenye file iliingia na inspected mileage ngapi ya Tbs).
.
Na hiyo 11m inamaana ukifika tu utalipa, huta-bargain? Msiwe hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
mchina atunze gari wakati hata nyoka hawezi tunzaMi nadhani alimaanisha kuwa akiandika chinease owner , itakuwa na sound kuwa gari ilikuwa inatunza vizuri na mchina ni kama vile mpya !!
sent from toyota Allex
dogo achana na mipasho ndo jf hii,mteja anayetaka gri taku pm basi hapa utapiga kelele hamn mnunuzi tulia.Kwahiyo 124,000 Kms ni nyingi kwa wewe kununua kwa 11m, sio? Usikurupuke mkuu, sio lazima ukosoe kila kitu.
.
Kwa hili wajuzi wa magari watakushangaa sana, hizo kms ni CHACHE SANA na ni Genuine (ukifika kwenye gari utajiridhisha kwenye file iliingia na inspected mileage ngapi ya Tbs).
.
Na hiyo 11m inamaana ukifika tu utalipa, huta-bargain? Msiwe hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe ndiyo mpumbavu. Wenzako huwa wanaandika "one owner" au "woman owned", wewe unakuja na kihoja cha eti "Chinese owner"! Ndiyo mara ya kwanza kusikia.Nimegundua wewe ni mpumbavu, baki na upumbavu wako.
.
Weekend njema!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi njaa kali lakini nielekeze tu umejuaje kuwa ni gari la 2015 wakati YOM ni 2006. Umetumia vigezo ganiAtakaye nunua hiyo gari atakuwa fala sana. Crown iliyotembea Tz toka 2015 ununue kwa 11ml wakati ukiagiza wapata kwa 12 hadi 14
Sent using Jamii Forums mobile app
Amecheki plate number DEN boss.Mkuu mimi njaa kali lakini nielekeze tu umejuaje kuwa ni gari la 2015 wakati YOM ni 2006. Umetumia vigezo gani
Huku kwetu kuna wachina wanakodi magari wafanyie kazi aiseee inatia huruma linaweza tembezwa hata miezi mitatu bila kuona maji na barabara zetu sama,,, kuna moja imekata exhaust manifold hata havijali hivi vijamaaa
Kwahiyo kila mwaka usajili unaanza na herufi kadhaa. Najua bado tuko D kwahiyo mfano mwaka huu ulianza na DL# kwamba miaka minne ijayo mtu atakuwa anarefer kuwa DLA ilianza 2020.Amecheki plate number DEN boss.
dodge
l haiewez kukaa miaka minne point of correction na naKwahiyo kila mwaka usajili unaanza na herufi kadhaa. Najua bado tuko D kwahiyo mfano mwaka huu ulianza na DL# kwamba miaka minne ijayo mtu atakuwa anarefer kuwa DLA ilianza 2020.
Kwanini isikae miaka minne wakati kuna namba A nyingi mtaani.l haiewez kukaa miaka minne point of correction na na
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanini isikae miaka minne wakati kuna namba A nyingi mtaani.
7mil hadi 9milBei elekezi mkononi ni kiasi gani?