Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Mi nadhani alimaanisha kuwa akiandika chinease owner , itakuwa na sound kuwa gari ilikuwa inatunza vizuri na mchina ni kama vile mpya !!

sent from toyota Allex
 
Wala sio lazima imaanishe hivyo mkuu, ni kweli gari ni ya mchina ila hiyo ni article tu ya uandishi wangu. Ambayo hainisaidii chochote kwenye biashara yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu hapa anajulikana ni nani, Chinese owner.
Hilo neno "Chinese Owner" linakusumbua nini ndugu yangu? Mbona unaniharibia thread mkuu. Kwakuwa kama gari hujaipenda si hujaipenda tu?
.
Basi nisaidie kuwaambia Moderators warekebishe heading ili nafsi yako iridhike.
.
Nashukuru kwa kunielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikuwa nashangaa hz km 124K duh afu ununue 11M?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo 124,000 Kms ni nyingi kwa wewe kununua kwa 11m, sio? Usikurupuke mkuu, sio lazima ukosoe kila kitu.
.
Kwa hili wajuzi wa magari watakushangaa sana, hizo kms ni CHACHE SANA na ni Genuine (ukifika kwenye gari utajiridhisha kwenye file iliingia na inspected mileage ngapi ya Tbs).
.
Na hiyo 11m inamaana ukifika tu utalipa, huta-bargain? Msiwe hivyo

nimekuomba kw 9 m umeanza maneno ya kshfa ona sasa unapata aibu huku jf

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi nadhani alimaanisha kuwa akiandika chinease owner , itakuwa na sound kuwa gari ilikuwa inatunza vizuri na mchina ni kama vile mpya !!

sent from toyota Allex
mchina atunze gari wakati hata nyoka hawezi tunza
 
Kwahiyo 124,000 Kms ni nyingi kwa wewe kununua kwa 11m, sio? Usikurupuke mkuu, sio lazima ukosoe kila kitu.
.
Kwa hili wajuzi wa magari watakushangaa sana, hizo kms ni CHACHE SANA na ni Genuine (ukifika kwenye gari utajiridhisha kwenye file iliingia na inspected mileage ngapi ya Tbs).
.
Na hiyo 11m inamaana ukifika tu utalipa, huta-bargain? Msiwe hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
dogo achana na mipasho ndo jf hii,mteja anayetaka gri taku pm basi hapa utapiga kelele hamn mnunuzi tulia.
ulivyosema chinese owner ndo hapo watu wanaogopa corona andika british owner ongeza bei.
watanunua usiwlaumu hawa ndugu zako manumba
 
"Chinese Owner" nayo imekuwa selling point, kutofautisha na gari iliyojambiwa mashuzi ya kibongo.
 
Huku kwetu kuna wachina wanakodi magari wafanyie kazi aiseee inatia huruma linaweza tembezwa hata miezi mitatu bila kuona maji na barabara zetu sama,,, kuna moja imekata exhaust manifold hata havijali hivi vijamaaa

Chinese siyo watunzaji kabisa wa magari na wako rough.
 
Amecheki plate number DEN boss.

dodge
Kwahiyo kila mwaka usajili unaanza na herufi kadhaa. Najua bado tuko D kwahiyo mfano mwaka huu ulianza na DL# kwamba miaka minne ijayo mtu atakuwa anarefer kuwa DLA ilianza 2020.
 
l haiewez kukaa miaka minne point of correction na na

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanini isikae miaka minne wakati kuna namba A nyingi mtaani.

gar zinanunuliwa sana kwa kas ikiwa namba dl means imeingia kati ya mwaka flan had mwaka flan as magar yanaagizwa meng na namba zinabadilika kila mara gar mpya inainga nchini

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom