Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

gar zinanunuliwa sana kwa kas ikiwa namba dl means imeingia kati ya mwaka flan had mwaka flan as magar yanaagizwa meng na namba zinabadilika kila mara gar mpya inainga nchini


Sent from my iPhone using JamiiForums
Pale nilimaanisha mtu akija mwaka 2024 akakuta gari lako ni DLA (mfano) kama yuko informed atajua kuwa hili lilinunuliwa 2020 au hakuna njia rasmi ya kufahamu mwaka mpaka uulize. Inakuwaje kuna member alijua registration year ni 2015 wakati kwenye tangazo haikutajwa. Hii skill nikipata itaniongeza ujanja.
 

kwa mfano sisi ambao tuna ofs za clearing huwa tunajua na ukichukua kad ya gar itaonyesha first registration mwaka 2015
but you must differenciate na ile gar ya mwaka 2005 means ni toleo la 2005
kwa hio 2005 had na 2015 ilikuwa japan inatumika then 2015 had saiv iko bongo so
kuna vitu viwil tofaut apa
which affects the price of a car


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
dogo achana na mipasho ndo jf hii,mteja anayetaka gri taku pm basi hapa utapiga kelele hamn mnunuzi tulia.
ulivyosema chinese owner ndo hapo watu wanaogopa corona andika british owner ongeza bei.
watanunua usiwlaumu hawa ndugu zako manumba
Ngosha huyo. Hawajaribiagwi hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sijui kwanini watu mnapaniki sana mtu akitaja yeye ni nani!?

Ni kweli ni chinese,na wewe una race yako yanini upaniki?

Unamuonea wivu kutaja anatoka wapi?

Punguzeni unaa wa kiduwanzi namna hii....

Yeye ni Chinese na mimi ni Tanzanian,yanini nimzuie yeye kutaja utaifa wake?

Yeye hajabagua mtu,wewe ndio umejaa machuki rohoni mwako umeona ngoja uanze kumkoromea

Fvck outta here!

Jikite kwenye biashara acha self hatred zako na inferiority complexes zilizokujaa
 
Duuu!Biashara ishaharibika walahi!
 
Huyo mjomba kawaida yake hua hapendi kua challenged kwny udalali wake.

dodge

World wide. Gas guzzlers resale value iko chini
Oh ngoja nipite mbali
Chinese owner au Chinese owned? Napenda kujifunza tu kipi ni sahihi
 
Napenda kujua,clearing and forwarding agent huwa anatoza kiasi gani kwenye bandari unapotaka kutoa gari lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…