Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Crown asilimia 99 zina Odometer inayosoma laki na zaidi.
Ukiuziwa chini ya hapo umedanganywa
Pia ukiagiza waipata kwa 12mil hadi 13mil

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, yaani Bongo ni noma! Ukitembelea tovuti kama Be Forward au TraadeCar View unakuta Crown nyingi zinasoma Ks zaidi ya laki moja, ila ajabu kwa Bongo unakuta inasoma 60Ks au below, na pia hata kwa magari mengine. Hapa lazima kuna kamchezo na ukizingatia hasa magari yaliyopo yanayosoma 70Ks na chini ya hapo mengi yanaanzia dola elfu tatu na kuendelea.
 
YOM: 2002
Engine: 1zz vvti
Capacity: 1790cc
Automatic
Petrol
4WD
96,000 Kms
.
Price: TZS. 9.7m
.
Call: 0717 650800
.
.
Location: Sinza - Dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula 9.5, nakuja kuichukua sasa hivi seriously!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…