Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
12Mpaka mkononi kwa hiyo being mkuu UA 12 to 14?
200,000Napenda kujua,clearing and forwarding agent huwa anatoza kiasi gani kwenye bandari unapotaka kutoa gari lako
Kweli mkuu, yaani Bongo ni noma! Ukitembelea tovuti kama Be Forward au TraadeCar View unakuta Crown nyingi zinasoma Ks zaidi ya laki moja, ila ajabu kwa Bongo unakuta inasoma 60Ks au below, na pia hata kwa magari mengine. Hapa lazima kuna kamchezo na ukizingatia hasa magari yaliyopo yanayosoma 70Ks na chini ya hapo mengi yanaanzia dola elfu tatu na kuendelea.Crown asilimia 99 zina Odometer inayosoma laki na zaidi.
Ukiuziwa chini ya hapo umedanganywa
Pia ukiagiza waipata kwa 12mil hadi 13mil
Sent using Jamii Forums mobile app
**KUMBUKA USHURU WA CROWN UMEPANDA MARADUFU NCHINI, WAHI STOCK ILIYOPO KWA TZS. 14.7m TU**
.
.
YOM: 2006
Capacity: 2496cc
Automatic
Petrol
73,000 Kms
.
Location: Sinza - DSM
.
Price: TZS. 14.7m (Pamoja na usajili)
.
Call/SMS/WhatsApp: 0717 650800View attachment 1358358View attachment 1358359View attachment 1358360View attachment 1358361
Sent using Jamii Forums mobile app
YOM: 2002
Engine: 1zz vvti
Capacity: 1790cc
Automatic
Petrol
4WD
96,000 Kms
.
Price: TZS. 9.7m
.
Call: 0717 650800
.
.
Location: Sinza - DsmView attachment 1376147View attachment 1376148View attachment 1376149View attachment 1376150View attachment 1376151View attachment 1376153View attachment 1376154
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsanteGari inaonekana ni nzuri sana na bei sio mbaya....kazi kwenu wenye wazifa...
Sent using Jamii Forums mobile app