Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

M
Hapa sjaelewa mwenye kutakiwa kuwa na akili wewe au mleta post, unajua thamani ya runex au allex? Hasa no ds ambayo haijasajiliwa chini ya miezi 6?msipende kukurupukaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu hajakurupuka, kibongobongo huwezi kuuza Runx au Alex zaid ya M10, ikizidi hapo lazima mnunuzi atafute Harrier Old Model, tatizo wewe na Madalali wenzako mnapandisha sana bei za Magari na kuwajaza upepo watu kwamba gari ni bei juuu kumbe tamaa zenu za Kijinga. Usituchose zaidi zaidi endeleeeni kuwashika hao hao kutoka huko Shinyanga, Tunduru na Kibondo lkn siyo Vijana wa Daaaslam
 
Gari ukishanunua tu ukaitembelea tu jua Bei lazima ishuke tu ila 11m hapana range 7-9m hapo sawa

kilicho akilini kitumie
 
M

Mkuuu hajakurupuka, kibongobongo huwezi kuuza Runx au Alex zaid ya M10, ikizidi hapo lazima mnunuzi atafute Harrier Old Model, tatizo wewe na Madalali wenzako mnapandisha sana bei za Magari na kuwajaza upepo watu kwamba gari ni bei juuu kumbe tamaa zenu za Kijinga. Usituchose zaidi zaidi endeleeeni kuwashika hao hao kutoka huko Shinyanga, Tunduru na Kibondo lkn siyo Vijana wa Daaaslam
Huku Shinyanga magari used ni bei nafuu kuliko huko Dar es Salaam
 
YOM: 2002
Engine: 1NZ vvti
Capacity: 1490c
Automatic
Petrol
79,000 Kms
Never repainted
.
Location: Tazara Dsm
.
Call: 0717 650800

IMG-20200311-WA0003.jpeg
IMG-20200311-WA0001.jpeg
IMG-20200311-WA0002.jpeg
IMG_20200312_173912.jpeg
IMG_20200312_172257.jpeg
IMG_20200312_172320.jpeg
IMG_20200312_173312.jpeg
IMG_20200312_173849.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom