- Thread starter
- #521
Noted[emoji1666]Jimny bei ni kubwa ikiwa Manual,hizi auto sio inshu bei yake ya kawaida tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noted[emoji1666]Jimny bei ni kubwa ikiwa Manual,hizi auto sio inshu bei yake ya kawaida tu.
[emoji847]Karibuni [emoji448]
Sawa mkuuGari ni nzuri. Siku bei ikifika 4.5M unistue tafadhali
Ebu wakati mwingine tuwe serious kidogo.Hizi gari watu hawajui tu, bei inaweza kua kubwa kidogo ila maintenance cost ndogo sana, zina nguvu, zinahimili barabara zote na mafuta zinatumia kidogo sana.
Ebu wakati mwingine tuwe serious kidogo.
Gari ya cc650 inatoa wapi nguvu zakusifia kua gari inanguvu. Dashboard inasoma 140 gari itaachaje kutulia barabarani, maana huwezi kimbia.
Hapo tunakimbilia fuel consumption na durability tuu. Gari ni imara na zinakula mafuta kidogo, haya mengine tusiipake mafuta.
Mleta uzi am sorry kama hii comment haijakaa unavotaka.
Fair comment [emoji1666]Ebu wakati mwingine tuwe serious kidogo.
Gari ya cc650 inatoa wapi nguvu zakusifia kua gari inanguvu. Dashboard inasoma 140 gari itaachaje kutulia barabarani, maana huwezi kimbia.
Hapo tunakimbilia fuel consumption na durability tuu. Gari ni imara na zinakula mafuta kidogo, haya mengine tusiipake mafuta.
Mleta uzi am sorry kama hii comment haijakaa unavotaka.
Fair clarification [emoji1666]Ahsante sana mkuu, hakuna haja ya kuomba radhi kwa sababu hatuwezi kuwa na mtazamo au maoni ya aina moja. Vile vile kuheshimu mawazo ya wengine tofauti na yako ni jambo la kiungwana. Lakini kikubwa zaidi, umetoa maoni yako yanayotofautiana na yangu kwa lugha ya staha, kitu adimu sana siku hizi hapa jukwaani na uraiani kwa ujumla, hongera.
Turudi kwenye hoja ya msingi. Huenda ikawa tunatofautiana kutafsiri nguvu ya gari. Kwa upande wangu kwa lugha nyepesi kabisa nilimaanisha hii gari ni imara, inadumu, iko juu inaweza kupita barabara mbovu, in 4x4 kumbuka hii ni zaidi ya gari kuwa 4wd. Hapo ndio nilijumuisha kwa neno moja tu kwamba ina nguvu. Naomba nieleweke kwa muktadha huo. Ahsante.
Naomba kujua hiyo gari cc650 inatembea km ngapi kwa Lita 1??Ahsante sana mkuu, hakuna haja ya kuomba radhi kwa sababu hatuwezi kuwa na mtazamo au maoni ya aina moja. Vile vile kuheshimu mawazo ya wengine tofauti na yako ni jambo la kiungwana. Lakini kikubwa zaidi, umetoa maoni yako yanayotofautiana na yangu kwa lugha ya staha, kitu adimu sana siku hizi hapa jukwaani na uraiani kwa ujumla, hongera.
Turudi kwenye hoja ya msingi. Huenda ikawa tunatofautiana kutafsiri nguvu ya gari. Kwa upande wangu kwa lugha nyepesi kabisa nilimaanisha hii gari ni imara, inadumu, iko juu inaweza kupita barabara mbovu, in 4x4 kumbuka hii ni zaidi ya gari kuwa 4wd. Hapo ndio nilijumuisha kwa neno moja tu kwamba ina nguvu. Naomba nieleweke kwa muktadha huo. Ahsante.
Karibuni gari bado ipo
Hivi vigari mashine sanaDetails on the Card attached
Price: TZS. 9.9m [emoji91]
Location: Ukonga - DSM
Call: 0717 650800
View attachment 1801715
.View attachment 1801716
.View attachment 1801718
.View attachment 1801719
.View attachment 1801720
.View attachment 1801721
.View attachment 1801723
.View attachment 1801724
.View attachment 1801725
.View attachment 1801726
.View attachment 1801727
.View attachment 1801728
EngineView attachment 1803302
MileageView attachment 1803303
Karibuni [emoji1666]
[emoji1666]Hivi vigari mashine sana
Nyingi sana mkuu, I think zinakaribia 22/23 Kms per 1 Litre [emoji1666]Naomba kujua hiyo gari cc650 inatembea km ngapi kwa Lita 1??
Sawa mkuukwa bei hiyo gari hii haiuziki
imeuzwa!?Sawa mkuu
Kwa nguvu hapo ni kweli ila kwa gari ndogo ukiyembea speed ya 80-120kmp inatosha sana hiyoEbu wakati mwingine tuwe serious kidogo.