Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Hizi gari watu hawajui tu, bei inaweza kua kubwa kidogo ila maintenance cost ndogo sana, zina nguvu, zinahimili barabara zote na mafuta zinatumia kidogo sana.
Ebu wakati mwingine tuwe serious kidogo.
Gari ya cc650 inatoa wapi nguvu zakusifia kua gari inanguvu. Dashboard inasoma 140 gari itaachaje kutulia barabarani, maana huwezi kimbia.
Hapo tunakimbilia fuel consumption na durability tuu. Gari ni imara na zinakula mafuta kidogo, haya mengine tusiipake mafuta.
Mleta uzi am sorry kama hii comment haijakaa unavotaka.
 
Ahsante sana mkuu, hakuna haja ya kuomba radhi kwa sababu hatuwezi kuwa na mtazamo au maoni ya aina moja. Vile vile kuheshimu mawazo ya wengine tofauti na yako ni jambo la kiungwana. Lakini kikubwa zaidi, umetoa maoni yako yanayotofautiana na yangu kwa lugha ya staha, kitu adimu sana siku hizi hapa jukwaani na uraiani kwa ujumla, hongera.

Turudi kwenye hoja ya msingi. Huenda ikawa tunatofautiana kutafsiri nguvu ya gari. Kwa upande wangu kwa lugha nyepesi kabisa nilimaanisha hii gari ni imara, inadumu, iko juu inaweza kupita barabara mbovu, in 4x4 kumbuka hii ni zaidi ya gari kuwa 4wd. Hapo ndio nilijumuisha kwa neno moja tu kwamba ina nguvu. Naomba nieleweke kwa muktadha huo. Ahsante.
 
Fair comment [emoji1666]
 
Fair clarification [emoji1666]
 
Naomba kujua hiyo gari cc650 inatembea km ngapi kwa Lita 1??
 
Ebu wakati mwingine tuwe serious kidogo.
Gari ya cc650 inatoa wapi nguvu zakusifia kua gari inanguvu. Dashboard inasoma 140 gari itaachaje kutulia barabarani, maana huwezi kimbia.
Hapo tunakimbilia fuel consumption na durability tuu. Gari ni imara na zinakula mafuta kidogo, haya mengine tusiipake mafuta.
Mleta uzi am sorry kama hii comment haijakaa unavotaka.
Kwa nguvu hapo ni kweli ila kwa gari ndogo ukiyembea speed ya 80-120kmp inatosha sana hiyo
 
Back
Top Bottom