BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Mbona unasema hivyo,kipi cha kushangaza hapo.Kama hiyo gari ni namba D basi mama yangu ni bikra
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unasema hivyo,kipi cha kushangaza hapo.Kama hiyo gari ni namba D basi mama yangu ni bikra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani uaribu m6.9 kwa kigari cha kubeba watu wanne na milango miwili wakati iliongeza m2 unavuta noah unakula vichwa tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] watu mmevurugwaaaahKama hiyo gari ni namba D basi mama yangu ni bikra
[emoji1] yaani ful stress[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] watu mmevurugwaaaah
Zipo nyingi old na new modelHiyo noah ya ml 8 inapatikana wapi?
Mkuu mimi nimefika 5 tajiri amegoma kuniuzia kwahyo gari thamani kubwa hiiHiyo uiuze kati ya milioni 4-5
Haijawahi kupata ajali yoyote ile
Haigongi chini wala shock ups
.
Haijawahi kurudiwa rangi
.