Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Km 93000 aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna unalolijua na umeonyesha UJINGA wa hali ya juu, umejidhalilisha kupita kiasi kwa kujifanya unajua mambo wkt HUNA UNALOJUA.Nahisi kuna utapeli. Km haziwezi kuwa 93,000. Kwa hiyo kasoro tu maana yake hata injini haiko sawa. Ukinunua hiyo kuna mawili, mosi wakati wa kutest watakutestia injini safi ila pili siku ya kwenda kuchukua utachukua injini ya kukufikisha home baada ya hapo utarudi sokoni kununua injini nyingine kwa mil 2.5 mpaka 3.5. Hivyo bei jumla ni sawa na kununua ya ku import. Wajinga waliwao.
Njoo pmHapana.
.
Ahsante kwa ofa [emoji1666]
Hiyo gari ni nzuri sana kwa misele ya hapa na pale. Na bei ni nzuri sana.Nahisi kuna utapeli. Km haziwezi kuwa 93,000. Kwa hiyo kasoro tu maana yake hata injini haiko sawa. Ukinunua hiyo kuna mawili, mosi wakati wa kutest watakutestia injini safi ila pili siku ya kwenda kuchukua utachukua injini ya kukufikisha home baada ya hapo utarudi sokoni kununua injini nyingine kwa mil 2.5 mpaka 3.5. Hivyo bei jumla ni sawa na kununua ya ku import. Wajinga waliwao.
kula m2Year: 2001
Engine: 2SZ vvti
Capacity: 1290cc
Odometer: 106,000Kms
Automatic
Petrol
FM Radio/CD
New four Tyres
Full Documents[emoji91]
.
Price/Bei: 4.8m
.
Contact: 0717 650800
.
Location: Kimara - Dsm [emoji419]View attachment 2329372View attachment 2329369View attachment 2329370View attachment 2329373View attachment 2329371View attachment 2329374View attachment 2329375View attachment 2329376View attachment 2329378View attachment 2329379View attachment 2329380
Dah [emoji3]1.25m ipo mfuko wa shati kama uko tayari ilete pale Mwananyamala A gereji tuikague kama iko sawa tukupe hela chap
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauza gariNachukua 4m leo [emoji1666]