Tunauza mashamba viwanja Arusha, Boma, Kiteto

Shamba la ekari moja lililopo ndani ya mkoa wa Arusha, mnauza bei gani?
Inategemea na mahali mf. Kule kwetu moshono nusu heka inaanza ml 47 nakuendelea heka sasa ni 75 hadi 100ml tz sh. Ila kuanzia kia mpaka , usa, mpaka mrefu unaweza pata kwà bei nzuri , ila haitokuwa karibu na main road unaweza pata 18 mpaka 25ml na ni kuanzia 1km mpaka 3km ndio ufike kwenye eneo ila ni pazuri unaweza fanya mambo yako.
 
Tell me more about kiteto maana napasikiaga tu
Kiteto District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Simanjiro District, to the east by the Tanga Region and to the south and west by the Dodoma Region. The district headquarters are located in Kibaya and most of the people who are in kiteto are Masai people . It's a good district for cultivation.
 
Moshono sehemu gani?
 
Equation x kuna namba hapo njoo whtsupp unipe budghet yako nikupatie heka safi nzuri utaifurahia . Sehemu ambaye sio tindiga , nanipatulivu unaona mt kilimanjaro uje na mteja pia upate commission
Bei ziko juu sana, nataka la ndani ndani kabisa kwa ajili ya ufugaji na bei iwe rafiki kidogo
 
Mtu atoke Mbeya mpaka boma ndio apate majibu? Mna matatizo gani nyie madalli wa humu? Kwa nini msiweke taarifa zote hadharani

USIKUBALI KUKOSA VIWANJA VYA MKOPO NDANI YA MIEZI SITA BILA RIBA . VIWANJA VIPO ARUSHA NA KILIMANJARO;
ARUSHA
MAJI YA CHAI 20*20 MILL 6
KIKATITI 15*20 MILL 3
NJIANG'OMBE 20*15 MILL 6
EAST AFRICA 20*15 MILL 3
KISERIAN 20*20 MILL 6.5
MOSHONO LAIZER 20*15 MILL 6.5
NJIRO ROUND ABOUT 15*20 MILL 8
*MOMELA 20*20 MILL 8
KILIMANJARO
BOMANG'OMBE 20*15 MILL 3
UZUNGUNI (BOMANG'OMBE) 15*20 MILL 4

5. HEKA KITETO KARIBU NA MJI NI LAKI 7 MJINI KABISA ML 1 NA LAKI MBILI KIJIJINI LAKI 4

KARIBUNI WOTE
 

Attachments

  • IMG-20231010-WA0010.jpg
    63.2 KB · Views: 3
  • IMG-20231010-WA0009.jpg
    85.5 KB · Views: 3
  • IMG-20231010-WA0005.jpg
    149 KB · Views: 3
Burka mna viwanja?if yes ukubwa na bei ?
 
Laizer kwa wapi?
 
Tell me more about kiteto maana napasikiaga tu
Ni wilaya iliyopo ndani ya mkoa wa Manyara imepakana na sehemu za mkoa wa dodoma wilaya ya kondoa, mkoa wa Tanga imepakana na kilindi

Fursa zilizopo kubwa ni kilimo na ufugaji, ardhi ya kule bado bikra sana haijaumizwa na kemikali zinazotumika ktk kilimo, mazao yanayostawi sana ni mahindi, mbaazi, alizeti, maharage, ufuta na mengine Kwa kiasi kidogo

Miundombinu ya usafiri ni mazuri maeneo mengi yanafikika lkn msimu wa masika usafiri siyo rafiki kwa baadhi ya maeneo

Masoko ya mazao kwa sehemu kubwa ni dodoma hasa soko la kibaigwa

Fursa za kibiashara; pembejeo za kilimo Kwa maana ya mbegu, mbolea, dawa za kutibu mifugo(unaweza fungua office au kuzunguka minadani)


Kama Kuna sehemu inakuchanganya ndani ya Kanda ya kaskazini niulize 😁😁nipo hapa shekilango nawasubir
 
Nina eneo USA RIver sehemu onaitwa laki tatu naliuza 80m ukubwa wake ni 70m x63m. Kama mnahela niwaachie mkate viwanja njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…