Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na mahali mf. Kule kwetu moshono nusu heka inaanza ml 47 nakuendelea heka sasa ni 75 hadi 100ml tz sh. Ila kuanzia kia mpaka , usa, mpaka mrefu unaweza pata kwà bei nzuri , ila haitokuwa karibu na main road unaweza pata 18 mpaka 25ml na ni kuanzia 1km mpaka 3km ndio ufike kwenye eneo ila ni pazuri unaweza fanya mambo yako.Shamba la ekari moja lililopo ndani ya mkoa wa Arusha, mnauza bei gani?
Kiteto District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Simanjiro District, to the east by the Tanga Region and to the south and west by the Dodoma Region. The district headquarters are located in Kibaya and most of the people who are in kiteto are Masai people . It's a good district for cultivation.Tell me more about kiteto maana napasikiaga tu
MImi nimehamia Dodoma, maisha yamenishinda Arusha, babe nitamsaprise huku Dom kama uko na plot ya maana Dom nishitueMjep nunua basi kiwanja hata cha babe umsurprise au niunganishe na vifaru
Hizi picha hapaAmbatanisha picha
Moshono sehemu gani?Inategemea na mahali mf. Kule kwetu moshono nusu heka inaanza ml 47 nakuendelea heka sasa ni 75 hadi 100ml tz sh. Ila kuanzia kia mpaka , usa, mpaka mrefu unaweza pata kwà bei nzuri , ila haitokuwa karibu na main road unaweza pata 18 mpaka 25ml na ni kuanzia 1km mpaka 3km ndio ufike kwenye eneo ila ni pazuri unaweza fanya mambo yako.
Bei ziko juu sana, nataka la ndani ndani kabisa kwa ajili ya ufugaji na bei iwe rafiki kidogoEquation x kuna namba hapo njoo whtsupp unipe budghet yako nikupatie heka safi nzuri utaifurahia . Sehemu ambaye sio tindiga , nanipatulivu unaona mt kilimanjaro uje na mteja pia upate commission
Mtu atoke Mbeya mpaka boma ndio apate majibu? Mna matatizo gani nyie madalli wa humu? Kwa nini msiweke taarifa zote hadharani
Nyie ni kambele au real kambeleHalf american nitafutie basi wateja unapata commission yako
Njoo pm basi unaongea sana wewe hatushindwaniBei ziko juu sana, nataka la ndani ndani kabisa kwa ajili ya ufugaji na bei iwe rafiki kidogo
Burka mna viwanja?if yes ukubwa na bei ?Sisi ni group la madalali waliojikusanya kupigania haki ya mwananchi upate kiwanja /heka yako kihalali unalipia kwa awamu.
Kwa njia hii moja ukipenda kiwanja mahali iwe usa , boma au popote pale arusha , tunaenda kwa mwenye kitu unaandikishwa fomu halafu na barua inayoonyesha mmekubaliana unaanza kulipa nusu na ingine unamalizia kwa miezi au miaka mingapi unaenda kulipa hiyo nusu unaleta kopi kwa mwenye kiti na wewe umebaki na vielelezo vitatu barua kwa mwenye kiti ambayo inasign ya kila mtu , including you mashahidi, na muuzaji , . Hati inabaki kwa mwenye kiti na anaonyesha kila mtu kuwa yeye anayo ukimalizia basi unapewa kihalali na wale waliokuwepo mwanzo wanakuwepo mwishoni karibu uje uone
Mimi nauza maeneo kwa yeyote mwenye viwanja au mashamba yakitokea kwa kambele au mbise au kwa mwenye kiwanja au mashamba anauza ya ukoo au yake binafsi nauza. Yote unaweza lipia kwa awamu karibu mtejaNyie ni kambele au real kambele
Laizer kwa wapi?USIKUBALI KUKOSA VIWANJA VYA MKOPO NDANI YA MIEZI SITA BILA RIBA . VIWANJA VIPO ARUSHA NA KILIMANJARO;
ARUSHA
MAJI YA CHAI 20*20 MILL 6
KIKATITI 15*20 MILL 3
NJIANG'OMBE 20*15 MILL 6
EAST AFRICA 20*15 MILL 3
KISERIAN 20*20 MILL 6.5
MOSHONO LAIZER 20*15 MILL 6.5
NJIRO ROUND ABOUT 15*20 MILL 8
*MOMELA 20*20 MILL 8
KILIMANJARO
BOMANG'OMBE 20*15 MILL 3
UZUNGUNI (BOMANG'OMBE) 15*20 MILL 4
5. HEKA KITETO KARIBU NA MJI NI LAKI 7 MJINI KABISA ML 1 NA LAKI MBILI KIJIJINI LAKI 4
KARIBUNI WOTE
Sawa, uniangalizie na bei za mashamba mirongoNjoo pm basi unaongea sana wewe hatushindwani
Ni wilaya iliyopo ndani ya mkoa wa Manyara imepakana na sehemu za mkoa wa dodoma wilaya ya kondoa, mkoa wa Tanga imepakana na kilindiTell me more about kiteto maana napasikiaga tu