Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Vigezo vya kupata uo mkopo uko vipi
MWAJIRIWA
Picha 3
Kitambulisho cha uraia
Kitambulisho cha mtu wa karib
Salary slip za miez 3
Kopi ya mkataba wa ajira
Bank statement ya miez 6
Barua ya serikal ya mitaa

KUJIAJIRI
Picha 3
Kitambulsho cha uraia
Bank statement miez 6
Tin number
Lesen ya biashara
 
Fuso milioni 80 dah ?
Wewe umeona 80 milioni? Mimi nimeona 86,930,010 Million ambayo kwa tarakimu itaandikwa 86,930,010,000,000. Sawa na trillion themanini na sita bilioni mia tisa thelathini na milioni kumi. Bajeti ya nchi ya miaka mitatu kwa fuso moja.
 
Kwa io unategemea unaweza pata fuso ya 50,000km[emoji23][emoji23][emoji23] c ndio?? ushawai kuagza gari kubwa lakin nisijekuwa nabishana na mtu amby aelewi chochote
Kwamba fuso zenyewe zinazaana kisha kunyonyeshana na baada ya kukua ndio zinauzwa ama. Fuso ni mifugo? Kiwandani zinaanzia kutengenezwa kwa km ngapi?
 
Umeacha ushoga?
 
Kimsingi ni mpya sababu zinakuwa reconditioned
 
Mitsubish Canter
Year 1997
Engne 4d35
Km 25,000
6Mt

⚡️Gharama ya kuagiza gari hili mpaka kukabidhiwa ni 66,882,000Million pekee bei hii ni pamoja na usajir wa gari

⚡️ Mkopo pia unapatkana kwa gari hili lipa 36,735,000 Million inayobaki lipa kidogo kidogo kwa kipind cha miez 12 hadi 24

Whatsap
0769177042



















 
1. Pata gari yako kwa kulipia 50% tu ya garama nzima na upate faida ya mkopo wa 50% marejesho ndani ya miezi 12.

2. Ukilipia 50% na Taratibu za mkopo zikikamilika utapata gari yako ndani ya masaa 48.

3. Kama huitaji mkopo utapata fursa ya kuihifadhi gari kwetu kwa miezi mitatu bila garama ya ziada ukijipanga kutafuta garama za kodi.

4. Kama ukinunua gari kwetu na ukawa unauhitaji wa kubadirisha basi unauwezo wa KUVUNJA nasisi na ukapata gari mpya.

Tupigie sasa

0769177042








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…