Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Acha uhaya wa kishamba we sister duu,bichwa kubwa akili kisoda

usichoelewa hapo ni kipi gari used JAPAN bongo ni mang'anyuu yani jipya?

Unajitia kukaza fuvu tu,ungekua around watu ka nyie mafuvu yenu tunachemshiaga supu

halafu tunamwaga chooni maana hata mmea haufai kupata mbolea ya fuvu lako,mnyama yeyote hafai nyweshwa supu itokanayo na mwili wako anaeza Paralyze.

Acha kuleta Uhaya wako wa kishamba,unajua agiza gari kwanini usilifate JAPAN ukaja nalo?...

Mwenye mbwembwe ni wewe mshamba mmoja hivi,Bchwa kontena akili kret...
Wewe si ndio yule tapeli kila mtu anakuulizia hapa JF?

Acha kuibia watu we fala...
 
Sihitaji kutetewa na wewe, kuna siku au mahali nilikutumia kadi ya mwaliko uniteteee

unanitetea kwa kipi na kwa lipi? who are you? unaemtetea unamjua au shobo mdundo?

yes niite Tapeli, ukipenda niite CONTROLA man of the match, sijibugi wapumbavu ila

nimekujibu kidogo hii ili ujue kuwa huwa mimi sio mkimya au mpole naongea naandika halafu

zaidi ukizingua nakuzingua,am not that easy panadol so kuwa makini unapo quote maandishi yangu

sijawahi ku quote andishi lako ila muwasho uliokugusa ukakupelekea kuni quote,stay calm sister

sipo kama unavyofikiri "am rude" so kuwa makini mno kabla sijakutaftia MUME maana you seems like uko horny na kitu ikuguse mahala.

Call me kontrola, au Mwenyekiti wa Matapeli as your heart pleased to call me that way. Take care.
Mwizi wewe unaibia washamba. Hivi sasa tumesimama kuwastua wasiojua

Hilo likimeo lako ni heri mtu anunue Vitz

Laanakum mwizi wahed
 
Mwizi wewe unaibia washamba. Hivi sasa tumesimama kuwastua wasiojua

Hilo likimeo lako ni heri mtu anunue Vitz

Laanakum mwizi wahed
Gari pekee unaloweza litolea mfano ni Vitz maana ndio level zako
 
1. Pata gari yako kwa kulipia 50% tu ya garama nzima na upate faida ya mkopo wa 50% marejesho ndani ya miezi 12 hadi 24

2. Ukilipia 50% na Taratibu za mkopo zikikamilika utapata gari yako ndani ya masaa 48.

3. Kama huitaji mkopo utapata fursa ya kuihifadhi gari kwetu kwa miezi mitatu bila garama ya ziada ukijipanga kutafuta garama za kodi.

4. Kama ukinunua gari kwetu na ukawa unauhitaji wa kubadirisha basi unauwezo wa KUVUNJA nasisi na ukapata gari mpya.

Tupigie sasa
0769177042

D14D9956-360F-4C25-8422-C56CF975823B.jpeg

3E04B346-9036-4813-8D83-BB640D8D7E04.jpeg

E3670368-CE05-4D40-A7EC-A16C7977B0B7.jpeg
 
1. Pata gari yako kwa kulipia 50% tu ya garama nzima na upate faida ya mkopo wa 50% marejesho ndani ya miezi 12 hadi 24

2. Ukilipia 50% na Taratibu za mkopo zikikamilika utapata gari yako ndani ya masaa 48.

3. Kama huitaji mkopo utapata fursa ya kuihifadhi gari kwetu kwa miezi mitatu bila garama ya ziada ukijipanga kutafuta garama za kodi.

4. Kama ukinunua gari kwetu na ukawa unauhitaji wa kubadirisha basi unauwezo wa KUVUNJA nasisi na ukapata gari mpya.

Tupigie sasa
0769177042

View attachment 2224225

View attachment 2224226

View attachment 2224227
Vigezo vya kupata uo mkopo uko vipi
 
Back
Top Bottom