Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Uzi umekua wa mipasho watu wana hasira na ID za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂😂Uzi umekua wa mipasho watu wana hasira na ID za watu
Wewe si ndio yule tapeli kila mtu anakuulizia hapa JF?Acha uhaya wa kishamba we sister duu,bichwa kubwa akili kisoda
usichoelewa hapo ni kipi gari used JAPAN bongo ni mang'anyuu yani jipya?
Unajitia kukaza fuvu tu,ungekua around watu ka nyie mafuvu yenu tunachemshiaga supu
halafu tunamwaga chooni maana hata mmea haufai kupata mbolea ya fuvu lako,mnyama yeyote hafai nyweshwa supu itokanayo na mwili wako anaeza Paralyze.
Acha kuleta Uhaya wako wa kishamba,unajua agiza gari kwanini usilifate JAPAN ukaja nalo?...
Mwenye mbwembwe ni wewe mshamba mmoja hivi,Bchwa kontena akili kret...
Mwizi wewe unaibia washamba. Hivi sasa tumesimama kuwastua wasiojuaSihitaji kutetewa na wewe, kuna siku au mahali nilikutumia kadi ya mwaliko uniteteee
unanitetea kwa kipi na kwa lipi? who are you? unaemtetea unamjua au shobo mdundo?
yes niite Tapeli, ukipenda niite CONTROLA man of the match, sijibugi wapumbavu ila
nimekujibu kidogo hii ili ujue kuwa huwa mimi sio mkimya au mpole naongea naandika halafu
zaidi ukizingua nakuzingua,am not that easy panadol so kuwa makini unapo quote maandishi yangu
sijawahi ku quote andishi lako ila muwasho uliokugusa ukakupelekea kuni quote,stay calm sister
sipo kama unavyofikiri "am rude" so kuwa makini mno kabla sijakutaftia MUME maana you seems like uko horny na kitu ikuguse mahala.
Call me kontrola, au Mwenyekiti wa Matapeli as your heart pleased to call me that way. Take care.
😀😂😂😂😂😂Lbd ana stress mwenzetu tusimlaumu sana ila mwenye akili anaelewa nn tunazungumza
Gari pekee unaloweza litolea mfano ni Vitz maana ndio level zakoMwizi wewe unaibia washamba. Hivi sasa tumesimama kuwastua wasiojua
Hilo likimeo lako ni heri mtu anunue Vitz
Laanakum mwizi wahed
YES mimi ndie TAPELI farasi wa miguu 9 weweWewe si ndio yule tapeli kila mtu anakuulizia hapa JF?
Acha kuibia watu we fala...
Riba % ngapi
3% Mkuu karbu sanaRiba % ngap
Ni kwa ajili ya usajir wa gari kufatilia na kufungia gari gps mkuuMasaa 48 Halafu nimelipa 50% mbn muda mrefu ndugu
50 percent yake bei ngapZipo mkuu karibu
Mawasiliano
0769177042
8Million boss50 percent yake bei ngap
Jumla n 40Million CashHiyo VW inakwendaje kimkopo na jumla?
Vigezo vya kupata uo mkopo uko vipi1. Pata gari yako kwa kulipia 50% tu ya garama nzima na upate faida ya mkopo wa 50% marejesho ndani ya miezi 12 hadi 24
2. Ukilipia 50% na Taratibu za mkopo zikikamilika utapata gari yako ndani ya masaa 48.
3. Kama huitaji mkopo utapata fursa ya kuihifadhi gari kwetu kwa miezi mitatu bila garama ya ziada ukijipanga kutafuta garama za kodi.
4. Kama ukinunua gari kwetu na ukawa unauhitaji wa kubadirisha basi unauwezo wa KUVUNJA nasisi na ukapata gari mpya.
Tupigie sasa
0769177042
View attachment 2224225
View attachment 2224226
View attachment 2224227