Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Nyumba ama apartment? Msaki hauwezi kupata nyumba yenye yard yake kwa pesa hiyo. hiyo lazima ni apartment tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ya ghorofa na apartment ni vitu viwili tofauti, rudi kwa mwenye nyumba akueleze vizuri kinachouzwa ni nini...
ndo maaa hizi kazi Lukuvi ilitaka zianze kufanywa na real estate lawyers badala ya ma mission town ambao hawajui kusoma na kuandika, what the hell is "sebure.... inajitoshereza" ????
mwambie mwenye nyumba abadilishe kitchen cabinets ili uweze kuona ndani, style ya mbao ni ya kizamani...
ma tiles ya Kichina na Kituruki ya kung'aa na kuteleza nayo ni cheap and terrible, niliwahi kutaka kuvunja mgongo sakafu ya CRDB Masaki, floor tiles za kishamba sana... Tiles zilizowekwa laundry room ni salama zaidi japo hazing'ai. I guess watu wanapenda ming'ao ming'ao ukitembea unaacha vivuli ndani ya nyumba.
Na hayo madirisha ya vioo chini mpaka juu kwa bongo inakuwaje kwenye usalama ? Sielewi inakuaje hapo.
Ceiling fan inakaa katikati, sio pembeni ya chumba. Vile vile kwa taa. Na pia ondoa choo hicho laundry room. Fanya modification kwanza ndio useme nyumba ni ya kisasa.
usi assume kwamba kila mtu hana dau... kuna watu wanataka quality, sio cheap and terrible thingsakifanya hayo yote dau litaongezeka pia, mwenye nia atanunua na kuiweka atakavyo.. simple.
maneno mengiii tu..
Bado nakalia niliyoandika earlier.. hata uwe na uwezo gani.. umechemka.. hayo ya dau utajijua.. muhimu ni mtu na mipango.. imebidi nicheke.. tulia omba ufunzwe..usi assume kwamba kila mtu hana dau... kuna watu wanataka quality, sio cheap and terrible things
maneno mengi mbona umeyasoma ?
Tress kama kawa haijalishi upo wapiMkiambiwa tafuten pesa, muwe mnaelewa, na hizo ndizo nyumba anazotakiwa kuishi mtu na mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23].
Just imagine umelala kwa bed kama lile na mdirisha ukikutizama uku hewa nzur na safi ikiwa imetanda room[emoji12].
Hizo stress unapataje sas?.
Tutafuten pesa jaman , kuishi dunian kama paradiso inawezekana kabisa
utaelewaje mambo ya wazungu hayoWashing machine chooni hapa sijaelewa.
☺️☺️☺️☺️☺️ ukajua tayariiNilitaka nikutag, nilivoona hayo madirisha lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa. Nyie nikuoelekwa kwenye chumba self na sebule kule chanika. Kuna mtu anauza kiwanja million moja wacha nikachukie hicho. Ndio litakuwa chimbo langu. Hivi uber zinafika huko?
Hatari...limbwata la nini tena jamani wee unatakiwa utoe uno na kumuheshimu jamaa rahisi kabisa jamaa anatangaza nia ya kuoa. Mnacomplicate mambo wakati mwanaume yeye anahitaji vitu hivyo viwili tuu umeshamteka.Sasa wee unadhan nan mjinga apelekwe ktk huo mjengo unaouzwa afu akae kizembe? Unapigisha limbwata tangu mwanaume had babu na bibi zake tena wa pande zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli aisee, tena na maongezi- yapo- hizi hela hizi!Kwa eneo hilo hiyo bei rahisi sana
Watafute akina Manji huko!Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 2000, cha pili kutoka Ufukwe wa Bahari ya Hindi, kina Hati Miliki, uzuri mwingine wa hiki kiwanja kimezungukwa na barabara 2 upande wa mbele na upande wa nyuma. Kinauzwa Tsh 750 milion maongezi.
Piga simu au whatsapp kupanga kukiona +255755312233
View attachment 2100743
View attachment 2100744
View attachment 2100745
View attachment 2100746
View attachment 2100747
View attachment 2100748
Acha makasiriko mkuu 😂😂😂Watafute akina Manji huko!