Nyumba ama apartment? Msaki hauwezi kupata nyumba yenye yard yake kwa pesa hiyo. hiyo lazima ni apartment tu.
 

akifanya hayo yote dau litaongezeka pia, mwenye nia atanunua na kuiweka atakavyo.. simple.

maneno mengiii tu..
 
akifanya hayo yote dau litaongezeka pia, mwenye nia atanunua na kuiweka atakavyo.. simple.

maneno mengiii tu..
usi assume kwamba kila mtu hana dau... kuna watu wanataka quality, sio cheap and terrible things

maneno mengi mbona umeyasoma ?
 
usi assume kwamba kila mtu hana dau... kuna watu wanataka quality, sio cheap and terrible things

maneno mengi mbona umeyasoma ?
Bado nakalia niliyoandika earlier.. hata uwe na uwezo gani.. umechemka.. hayo ya dau utajijua.. muhimu ni mtu na mipango.. imebidi nicheke.. tulia omba ufunzwe..
 
Tress kama kawa haijalishi upo wapi
 
Kama ya urithi aisee lete nitapambania mengine mm mwenyw
 
Kweli kabisa. Nyie nikuoelekwa kwenye chumba self na sebule kule chanika. Kuna mtu anauza kiwanja million moja wacha nikachukie hicho. Ndio litakuwa chimbo langu. Hivi uber zinafika huko?
Sasa wee unadhan nan mjinga apelekwe ktk huo mjengo unaouzwa afu akae kizembe? Unapigisha limbwata tangu mwanaume had babu na bibi zake tena wa pande zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari...limbwata la nini tena jamani wee unatakiwa utoe uno na kumuheshimu jamaa rahisi kabisa jamaa anatangaza nia ya kuoa. Mnacomplicate mambo wakati mwanaume yeye anahitaji vitu hivyo viwili tuu umeshamteka.
 
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 2000, cha pili kutoka Ufukwe wa Bahari ya Hindi, kina Hati Miliki, uzuri mwingine wa hiki kiwanja kimezungukwa na barabara 2 upande wa mbele na upande wa nyuma. Kinauzwa Tsh 750 milion maongezi.
Piga simu au whatsapp kupanga kukiona +255755312233












 
zinavutia, bora na za kisasa.
zina vyumba viwili na vitatu vya kulala vyote vinajitoshereza (self contained), jiko, pahala pa kulia chakula, sebule na sehemu za kupaki magari. Bei kuanzia TZS 350mil, 400mil na 450mil. Kuziona wasiliana nasi kwa kupiga piga simu/whatsapp +255755312233





















 
Dah! Kweli hapa duniani kuna watu wanaishi, na wengine ni wasindikizaji tu. Yaani milioni 750 ni bei ya kiwanja tu. Yaani hapo bado ujenzi na miundombinu mingine! ☹️
 
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, mahala pa kula, jiko na sebule. Nyumba ipo Karibu na Facebook, Karibu na kituo cha Mwendo kasi na daladala za kawaida. Kodi shs 900,000 kwa mwezi.

Kuiona au maelezo zaidi wasiliana nami kwa simu/ whatsapp +255755312233.



















 
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala (vyote self), mahala pa kula, jiko, stoo na sebule. Vyumba vitatu vya kulala vipi chini kimoja masta kipo juu na sebule yake. Kodi shs 1,200,000 kwa mwezi.

Kuiona au maelezo zaidi wasiliana nami kwa simu/ whatsapp +255755312233.













 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…