Si umuambie tu kuwa yeye ndie 'Kichaa' na si Biashara kama anavyosema?Kwa hoja hiyo naweza kujua kashaulo ni mtu wa namna gani. Pole sana.
Si umuambie tu kuwa yeye ndie 'Kichaa' na si Biashara kama anavyosema?
Hajui alisemalo,
Nachelea kuvuruga mantiki nzima ya Uzi wa watu.Madalali lenu moja, hamna lolote zaidi ya cha juu... sikushangai mlamu.