Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo chumba kimoja kweli ndo bei yake?mnashea choo na sebule
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimojawapo kinajitoshereza a.k.a self contained Master bedroom. Pia ina jiko, sebure, mahala pa kula na balcony.
Nyumba inafaa kwa binafsi na kibiashara kuikodisha au kuigeuza kuwa hostel kwa sababu inapakana na chum cha madaktari Muhimbili. Ina Hati miliki.
Bei 140mil nafasi ya kupunguziana ipo. kuiona piga sims 0784225000. Kwa mali nyingine zilizopo sokoni kwa kuuza au kukodishwa tembelea krasa zeta za FB au Insta kwa kuweka neno kayatanzania.
Aliyekuwepo alikuwa hatumii maji ya bomba kuoga na kuflashKuna shida ya maji kiongoz maana naona chooni makopo ya maji kama yote.
AiseeKuna shida ya maji kiongoz maana naona chooni makopo ya maji kama yote.
Ghorofa likiwa halina maji linakuwa sasa na shimo la taka.Kuna shida ya maji kiongoz maana naona chooni makopo ya maji kama yote.
Kuna gorofa ambalo halina maji?Ghorofa likiwa halina maji linakuwa sasa na shimo la taka.
Chukua 150.The apartment is situated on the ground floor and has direct access to the garden and is set in a private and quiet location within the complex. The accommodation consists of three bedrooms with two bathrooms open concept kitchen and dining room.Interested to have a look? Please schedule a DAY and HOUR for a visit or call/sms/whatsapp 0784225000View attachment 1670588View attachment 1670589View attachment 1670590View attachment 1670591View attachment 1670592View attachment 1670595View attachment 1670594
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kulaaaleki.Hivi unaposema unauza ni kwamba nikinunua inakuwa yangu kabisa? Je, baadae nikiamua kubomoa itakuwaje? Maana si ni mali yangu? Hao wa juu itakuwaje