House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali
sasa maelewano ya bei si hupaswa kuanza baada ya kuwa na bei anzilishi au? Taja bei ya kuanzia ili watu waendelee toka hapo
 
TAJA ZILE BEI ZAKO Zaidi ya za KUNUNUA nyumba California
Mteja mwenye uhitaji wa kununua au kufanya bishara apige simu au atume sms kwa namba hiyo hapo.
 
sasa maelewano ya bei si hupaswa kuanza baada ya kuwa na bei anzilishi au? Taja bei ya kuanzia ili watu waendelee toka hapo
BEI MAELEWANO...We piga simu tuanze kuelewana 😀
 
Bei yenyewe mbona ndogo hivyo nyumba nzuri hivyo unauza laki tano ???

Upo seriuz kweli broo???
Nakuletea million moja kabisa.
Nashukuru kwa zali hili la kupata nyumba upanga kwa laki tano pesa taslimu ya jamhuri yetu ya Tanzania.

Nitafute kupitia namba hii +1-003-234-09
 
Unapiga simu una milioni 60, unaambiwa nyumba tunauza milioni mia tisa tisini na tisa (999 million).

Unapata presha, unakufa!

Weka bei elekezi watu wajipime kabla ya kupiga simu.

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Ni vitu gani ambavyo haijitegemei? Na vipi kuhusu hati?
 
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga
 
An expatriate is looking for a one bedroom apartment or house in compound to rent from the next 16th of october 2019 to 17th of october 2020. If you have one available please get in touch. He can afford to pay $ 1000 monthly. Payable quarterly.


Send property description and pictures on whatsapp 0755312233

Thank you.
 
2 bedrooms ground floor apartment located along Ally Hassan Mwinyi Road nearby Agha Khan hospital. Recently renovated throughout. Walking distance to public transportation. Great quite small block, friendly atmosphere. Make your appointment today
Asking TZS 700,000
For viewing and details
Call 0784225000
IMG_1276.JPG
 

Attachments

  • IMG_1277.JPG
    IMG_1277.JPG
    17.6 KB · Views: 14
  • IMG_1278.JPG
    IMG_1278.JPG
    11.1 KB · Views: 12
  • IMG_1279.JPG
    IMG_1279.JPG
    11.9 KB · Views: 13
  • IMG_1280.JPG
    IMG_1280.JPG
    18.8 KB · Views: 12
  • IMG_1282.JPG
    IMG_1282.JPG
    16.9 KB · Views: 12
  • IMG_1284.JPG
    IMG_1284.JPG
    16.8 KB · Views: 12
Tshs 700K... Not bad.

Fursa kwa walimu mabachela wanaofundisha shule ya msingi Bunge... Hapo ni kwenda kwa miguu tu yani.
 
Nyumba Ina Vyumba Vitatu vya kulala Vinavyojitoshereza, jiko kubwa, sebule na mahala pa kula,.... Bei Makadilio: Milioni 299 (Maongezi yapo}....
Umiliki:Hati (Title deed)....
Nyumba Ina Mvuto wa nje na ndani... Maongezi zaidi 0755312233
IMG_3581.JPG
IMG_3582.JPG
IMG_3585.JPG
IMG_3586.JPG
IMG_3590.JPG
IMG_3597.JPG
 
Kazi yetu ni kuwarahisishia maisha watu. Tunawasaidia kuokoa muda na gharama kwa wanaotafuta viwanja na nyumba za kupanga au kununua. Pia, kwa upande wa wamiliki wa nyumba na viwanja, tumekuwa daraja muhimu la kuwafikia wateja.

Toa oda ya: 1. Nyumba za kununua na kupanga. 2:Nyumba za ghorofani za kununua na kupanga. 3. Viwanja na Marengo ya Biashara yanayouzwa na kupangishwa: 4. Viawanja vya kununua na kupanga.


Mawasiliano: Piga simu/sms/whtasapp: +255755312233. Au fika ofisini kwetu Kaya Company Ltd, Amverton Office Park 64, Lugalo/Magore Road, Upanga, Dar es Salaam.
IMG_4778.JPG
Plot.JPG
property2530.JPG
the-law-of-farm-600x455.JPG
Unknown.JPG
warehouse.JPG
 
Spacious home with very large space. Extremely large living area. Large kitchen. A detached 1 bedroom, 1 bath apartment can be used as a guest house, an office or studio, or used as an income producing rental property. Surrounded by trees and plants, you will feel like you are on your own little island! Schedule your showing today!Please text or Whatsapp me at ANYTIME or DAY to arrange a viewing on this property. 0755312233

9e0ddcdf-3106-4ee0-a27b-966f43efc8ef.JPG
2a1b4084-9d91-4196-8653-d67833c60dad.JPG
3afe4ac9-02ef-4ab1-ae7f-744c61e36504.JPG
38560ddf-2f69-42dc-9efe-3d4423286fc6.JPG
d9fda509-ddb5-45aa-aa51-1a964c147f25.JPG
d7285a44-f52d-4225-aefe-bf9ec4a013c5.JPG
e34c7cbb-730e-4ad5-bf9c-9b026d5eb1ab.JPG

9e0ddcdf-3106-4ee0-a27b-966f43efc8ef.JPG
 
Title 4 bedrooms, ndani 1 detached bedroom... au mashikoro kwangu!
 
Back
Top Bottom