House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali
kwani ukiandika tangazo lako kiswahili utapungukiwa vitamins au??
 
0858d527-88e6-4ba8-9b11-a5a0e0705a54.jpg

Fanikiwa zaidi kwenye udalali wa nyumba na viwanja kwa kutangaza kaya.co.tz ili uweze kuwafikia wateja wengi kwa wakati mfupi. Ingia kaya.co.tz jisajili kama agent (dalali) tengeneza tangazo lako na ulitume bure (hakuna malipo). Kwa ufafanuzi au ukipata shida wakati wa kujisajili whatsap au piga simu.
Kwa taarifa zote namna ya kutupata soma kipeperushi
0755312233
 
Asking Price TSh 276,000,000

Enjoying a stunning sea view. This apartment includes, 3 bedrooms, 2 bathrooms, 1 open-plan fitted kitchen, 1 parking space. This property is located in a residence with caretaker, secured residence, residence with a swimming pool and gym. Excellent sun exposure.This is certainly the property you are looking to live in, or to make an investment for rent with guaranteed return. This is unique opportunity not to be missed. Interested in having a look? Please call, SMS, whatsapp me on number 0784225000 at the earliest and it would be our pleasure to show you around. Again, don’t miss out of this one-of-a-kind opportunity.​

Attachments

  • IMG_5862.JPG
    IMG_5862.JPG
    17.8 KB · Views: 13
  • IMG_5856.JPG
    IMG_5856.JPG
    31.5 KB · Views: 12
  • IMG_5857.JPG
    IMG_5857.JPG
    18.5 KB · Views: 12
  • IMG_5860.JPG
    IMG_5860.JPG
    24.3 KB · Views: 12
  • IMG_5868.JPG
    IMG_5868.JPG
    19.2 KB · Views: 13
  • IMG_5870.JPG
    IMG_5870.JPG
    17.7 KB · Views: 15
Ina Vyumba 7 vya kulala ( Vyote ni self contained)
Mahala pa chakula, Sebule, Jiko & Public Toilet...,,
Bei TZS 75,000,000 ( Bei haina maongezi)
Ukubwa wa Kiwanja: 600sqm
Umiliki: Pameshapimwa mawe yamewekwa.
Matumizi: Inafaa sana kuwa Nyumba Ya Wageni (Guest House)
0784225000
 
Attachments

  • PHOTO-2020-10-10-08-39-51.jpg
    PHOTO-2020-10-10-08-39-51.jpg
    51.6 KB · Views: 14
  • PHOTO-2020-10-10-08-39-50.jpg
    PHOTO-2020-10-10-08-39-50.jpg
    90 KB · Views: 13
Ina Vyumba 7 vya kulala ( Vyote ni self contained)
Mahala pa chakula, Sebule, Jiko & Public Toilet...,,
Bei TZS 75,000,000 ( Bei haina maongezi)
Ukubwa wa Kiwanja: 600sqm
Umiliki: Pameshapimwa mawe yamewekwa.
Matumizi: Inafaa sana kuwa Nyumba Ya Wageni (Guest House)
0784225000
Dalali sometimes wanakera.kwa nini munawekaga bei kubw vitu vya watu vinashindwa kuuzika.By the way.Chamazi nyumba zinauzwa sana huko .shida ni nini?
 
Kaya.co.tz ni mtandao unaowakutanisha wauzaji, wanunuzi, wapangaji na wapangishwaji wa Nyumba na Viwanja vinavyouauzwa au kupangishwa kutoka sehemu tofauti Tanzania.

Yafutayo ni baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na watumiaji wa mtandao huu. Tumeweka majibu yake ili kuwasaidia watumiaji wetu kufahamu kaya.co.tz.

Ninawekaje tangazo langu kaya.co.tz

1. Ili kuweza kutangaza kuuza au kupangisha Nyumba au Kiwanja kaya.co.tz, inahitaji ufungue akaunti ya bure kabisa katika mtandao huu. Baada ya hapo, bofya kitufe kilichoandikwa (Post Ad/weka tangazo). Kisha ingiza taarifa za tangazo lako. Ili tangazo lako liwe bora na zuri, hakikisha lina kichwa chenye jina la mali, maelezo rahisi na yanayoeleweka, bei na picha nzuri za mali. Tangazo lako litaonekana mtandaoni baada tu ya timu ya kaya.co.tz kulihakiki.

2. Utaratibu wa Kuhakiki Tangazo langu Unakuwaje?

Mara baada ya kuliweka tangazo lako lenye kiwango kinachokubalika, basi tangazo lako litaonekana kwa wepesi baada ya muhakiki kulipitia. Ili hii litokee vizuri inabidi kichwa cha tangazo kionekane vizuri, maelezo ya Tangazo lako yawe yanajitoshereze, na bei na picha ziwe sawia.

Lakini kama tangazo lako litakuwa lina tatizo , basi timu yetu ya wahakiki watakushauri nini cha kufanya ili kuliboresha na baada ya marekebisho tangazo lako litaonekana kwa wanunuzi. Tangazo lako litahakikiwa ndani ya masaa 48 kama utaliweka ndani ya masaa ya kawaida ya kazi. Kama ukiliweka ndani ya muda wa ziada wa kazi na siku za wikiendi, basi itachukua hadi masaa 7 kuhakikiwa. Baada ya tangazo kuruhusiwa, utapokea ujumbe kutoka kaya.co.tz kukutaarifu hili. Kama lilikataliwa, utapokea ujumbe wa barua pepe au kupigiwa simu kujulishwa nini tatizo. Hapo utaweza kulirekebisha na kuposti upya tangazo lako. Matangazo yako yote yatakuwa kwenye ubao wako wa matangazo ( dash board).

3. Nawasiliana vipi na Muuzaji?
kaya.co.tz ni mtandao unaowakutanisha wauzaji, wanunuzi, wapangaji na wapangishwaji wa nyumba na viwanja vinavyouzwa na kupangishwa. Lakini kaya.co.tz sio wauzaji wa nyumba na viwanja vinavyoonekana kwenye tovuti. . Ili kununua au kupanga nyumba au kiwanja unachokipenda , unaweza kuwasiliana na muuzaji moja kwa moja kwa namna tofauti. Kama unatumia WhatsApp, bonyeza kwenye kitufe chenye nembo ya Whatsapp. Itafungua WhatsApp moja kwa moja ikiwa na namba ya muuzaji. Kama utataka kumpigia moja kwa moja, basi tumia kitufe kilichoandikwa call au unaweza kwenda sehemu iliyoandikwa '"Schedule a visit""na kujaza fomu iliyopo hapo.. Na pia unaweza kuwaitiana na Dalali kupitia barua pepe. Tumia sehemu ya barua pepe kama uko tayari kufanya hivyo

4. Ninaripoti vipi Udanganyifu wa Wauzaji au wapangishaji nyumba?

Pamoja ya kwamda kaya.co.tz ni mtandao wa kuaminika ikitokea Kama una mashaka ya aina yeyote na tangazo unaloliona wasiliana nasi tutapokea ripoti yako na kuchukua hatua mara moja. Tumia email moja kwa moja kwenda info@kaya.co.tz au kutupigie kupitia namba 0784225000 Tunawaomba wateja wetu wawiliane nasi kama wataona tatizo lolote.
5. kaya.co.tz Inasaidiaje Wauzaji, Wanunuzi, wapangaji na wapangishwaji wa Nyumba na Viwanja?

kaya.co.tz inatoa fedha muhimu juu ya biashara za kimitandao ili kuwasadia wauzaji wapate wateja wengi zaidi na wanunuzi,wapangaji kupata nyumba au viwanja i bora. Pia, kaya.co.tz inatoa elimu juu ya ulinzi wakati wa kufanya mauzo na manunuzi mitandaoni ili kuwalinda wateja wake. Haya yote yanatolewa kupitia blogu yake inayopatikana kupitia kaya.co.tz/blog.

6.Ninawasiliana Vipi na kaya.co.tz?
Kama ungependa kuwasiliana na kaya.co.tz kuna namna tofuati unazoweza kuzitumia kulingana na mahitaji yako. Unaweza kutupigia simu kupitia namba hii 0784225000. Pia unaweza kutuandikia barua pepe kupitia info@kaya.co.tz. Tuko kwenye mitandao ya kijamii ili kuwa karibu kabisa na wateja wetu. Huko unaweza kutu-follow kwa kutafuta kaya.co.tz kwenye mitandao ya kijamii na kutuuliza swali lolote. Na kama ukihitaji, unaweza kututembelea ofisini Upanga kwenye jengo la Amverton Office Park, barabara ya Magore na Lugalo. Tuko ghorofa ya pili.

7. Nani anaweza kuweka Matangazo ya Nyumba na Viwanja kaya.co.tz? Dalali pekee ndio anaruhusiwa kuweka matangazo ya nyumba na viwanja katika kaya.co.tz.
Hapa Dalali tuna maana ni mtu yeyote au taasisi inayofanya kazi ya uwakala ili kufanikisha biashara baina ya mteja na mtoa huduma fulani. Dalali ni mtu wa kati anayewaunganisha mteja na mwenye mali kwa kupata ujira unaotokana na kuwakutanisha pande mobili.

8.Kuna Gharama Zozote za Kuweka Tangazo kaya.co.tz?

Hakuna gharama zozote za kuweka tangazo lako kwenye kaya.co.tz.

e844156c-4531-4894-9ba6-b0b0ca9b9704.JPG
 
View attachment 1597362
Safi sana.
Sasa utajuaje dalali ndio kaweka.
Mimi nna kiwanja au nyumba nikiweka utanijuaje mimi sio dalali.
Pili. Wanasema mtu akitaka kukuonesha fursa ujue wewe ndio fursa. Wahuni hao sio maneno yangu. Swali: wewe unafaidika nini na watu kujitangazia hapo kama ni free kutangaza.
 
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimojawapo kinajitoshereza a.k.a self contained Master bedroom. Pia ina jiko, sebure, mahala pa kula na balcony.

Nyumba inafaa kwa binafsi na kibiashara kuikodisha au kuigeuza kuwa hostel kwa sababu inapakana na chum cha madaktari Muhimbili. Ina Hati miliki.

Bei 140mil nafasi ya kupunguziana ipo. kuiona piga sims 0784225000. Kwa mali nyingine zilizopo sokoni kwa kuuza au kukodishwa tembelea krasa zeta za FB au Insta kwa kuweka neno kayatanzania.
 
Attachments

  • IMG_5438.JPG
    IMG_5438.JPG
    21.1 KB · Views: 12
  • IMG_5439.JPG
    IMG_5439.JPG
    15.2 KB · Views: 13
  • IMG_5442.JPG
    IMG_5442.JPG
    20.2 KB · Views: 12
  • IMG_5443.JPG
    IMG_5443.JPG
    9.1 KB · Views: 13
  • IMG_5444.JPG
    IMG_5444.JPG
    14.6 KB · Views: 13
  • IMG_5445.JPG
    IMG_5445.JPG
    13.8 KB · Views: 13
  • IMG_5446.JPG
    IMG_5446.JPG
    13.2 KB · Views: 11
  • IMG_5447.JPG
    IMG_5447.JPG
    32.9 KB · Views: 11
  • IMG_5448.JPG
    IMG_5448.JPG
    16.7 KB · Views: 12
  • IMG_5451.JPG
    IMG_5451.JPG
    15.5 KB · Views: 12
  • IMG_5452.JPG
    IMG_5452.JPG
    20.9 KB · Views: 12
Tosh 850,000 Kwa mwezi mmoja

This is a 3 Bedroom apartments for rent in Upanga near Muhimbili Hospital comes with 1 of the bedrooms en suite, shared toilet for other two bedrooms, dining area, Living area kitchen. The whole complex has 24 hrs security, furnished (partially), security Guards included, water included in the rent, generator provided. Interested please call/whatsapp 0784225000
 
Attachments

  • 82d45974-f23d-4389-bf6e-c2a45c7c033a.JPG
    82d45974-f23d-4389-bf6e-c2a45c7c033a.JPG
    39.5 KB · Views: 12
  • 7b592ccb-f8c1-4706-98a4-af0f3601e7ec.JPG
    7b592ccb-f8c1-4706-98a4-af0f3601e7ec.JPG
    41.4 KB · Views: 10
  • 26c723d6-0536-4d1f-8ec8-27b3df53d9db.JPG
    26c723d6-0536-4d1f-8ec8-27b3df53d9db.JPG
    29.4 KB · Views: 10
  • 76d6a551-ad46-41b5-aaf0-48ef76e6b8f6.JPG
    76d6a551-ad46-41b5-aaf0-48ef76e6b8f6.JPG
    50.8 KB · Views: 10
  • b3379b22-4c89-4be8-a73c-5cea19b5e0f6.JPG
    b3379b22-4c89-4be8-a73c-5cea19b5e0f6.JPG
    56.1 KB · Views: 10
  • dce65bd3-9b16-4acc-ba98-69de9ca6debb.JPG
    dce65bd3-9b16-4acc-ba98-69de9ca6debb.JPG
    40.2 KB · Views: 11
Back
Top Bottom