dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #541
Kweli mkuu sema hapa sana sana ni kiwanja na panafaa kuishi au biashara maana pamefsi lami mpya hii iendayo Kunduchi. Mkuu hapa hamna mafuliko na tena kwa kipindi hiki ni vzr ukipata nafasi tuwasiliane uje ujionee mwenyeweHii ya zamani sana Mkuu sio kidogo. Vp kuhusu mafuriko maeneo hayo hasa kipindi hiki Cha mvua Hali ikoje eneo la tukio?
Poa nitamtuma mtu wangu wa real estate.Kweli mkuu sema hapa sana sana ni kiwanja na panafaa kuishi au biashara maana pamefsi lami mpya hii iendayo Kunduchi. Mkuu hapa hamna mafuliko na tena kwa kipindi hiki ni vzr ukipata nafasi tuwasiliane uje ujionee mwenyewe
Karibu sana ndgPoa nitamtuma mtu wangu wa real estate.
nina kiwanja mwasonga, kama ikiwezekana tubadilishane nikuongeze na helaNavunja na kitu gani mkuu nambie tuone tunafanyaje
Ok nitumie details zakenina kiwanja mwasonga, kama ikiwezekana tubadilishane nikuongeze na hela
Karibu sana ndg yangu na asante sanaDaah hii nyumba nimeipenda
vpo viwili kwa pamoja na vina hati. vipo kigamboni mwasonga. kimoja kina 354 sqm na kingine kina 391 sqm jumla 745 sqmOk nitumie details zake
Hebu kesho tupigiane cm tuongee zaidi tuone tunafanyaje mkuuvpo viwili kwa pamoja na vina hati. vipo kigamboni mwasonga. kimoja kina 354 sqm na kingine kina 391 sqm jumla 745 sqm
poa nitakucheki mkuuHebu kesho tupigiane cm tuongee zaidi tuone tunafanyaje mkuu
0756060183
Karibu sana mkuupoa nitakucheki mkuu
Asante sana mkuu kwa msaada wakoBaba haujaona Milioni 90?
Mkuu soma vizuri tangazo kila kitu nimeanisha hapo ila pia kama kuna jingine luksa uliza tu ndg yangu.Weka bei acha longolongo