Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hii ya zamani sana Mkuu sio kidogo. Vp kuhusu mafuriko maeneo hayo hasa kipindi hiki Cha mvua Hali ikoje eneo la tukio?
Kweli mkuu sema hapa sana sana ni kiwanja na panafaa kuishi au biashara maana pamefsi lami mpya hii iendayo Kunduchi. Mkuu hapa hamna mafuliko na tena kwa kipindi hiki ni vzr ukipata nafasi tuwasiliane uje ujionee mwenyewe
 
Poa nitamtuma mtu wangu wa real estate.
 
Kiwanja bado kipo wadau.hivi unajua kigamboni ni karibu na mjini na hapo baadae kigamboni utakuwa mji wa kisasa ! Wahi mapema tukuuzie Kiwanja kwa bei nafuu kabisa
 
vpo viwili kwa pamoja na vina hati. vipo kigamboni mwasonga. kimoja kina 354 sqm na kingine kina 391 sqm jumla 745 sqm
Hebu kesho tupigiane cm tuongee zaidi tuone tunafanyaje mkuu
0756060183
 
Nauza kiwanja kizuri sana Kigamboni Dege Mtaa wa tatu kutoka Lami
Viwanja maneo hayo vyote vimepimwa.
Ukubwa 650 SQM

Bei Tsh 12.5

Maongezi zaidi 0756060183
tapatalk_1601578635229.jpg
 
Nauza kiwanja kizuri sana Kigamboni Dege Mtaa wa tatu kutoka Lami
Viwanja maneo hayo vyote vimepimwa.
Ukubwa 650 SQM

Bei Tsh 12.5
 
Plot + Incomplete House for Sale.
Location: Wazo , Close to Main Road
Size: 1,397 Sqm.
Asking Price: TZS 65M.
Hati Status: On progress, Measured with Mark stone blocks placed.
House : 4 Bedroom, 2 Master bedrooms, Kitchen + Store, Dining, Living Room.

0756060183

IMG-20201020-WA0260.jpg
IMG-20201020-WA0261.jpg
IMG-20201020-WA0256.jpg
IMG-20201020-WA0257.jpg
 
Ipo Boko Chama

Nyumba Ina vyumba vitatu Master bedroom Moja sebule jiko choo uwanja una QM 400
Pamepimw hati bado panauzwa milio 90 mita chache kutoka Bagamoyo Road

Mawasiliano zaidi 0756060183

IMG-20201022-WA0113.jpg
IMG-20201022-WA0111.jpg
IMG-20201022-WA0112.jpg
IMG-20201022-WA0109.jpg
IMG-20201022-WA0110.jpg
IMG-20201022-WA0106.jpg
 
Back
Top Bottom