dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #541
Kweli mkuu sema hapa sana sana ni kiwanja na panafaa kuishi au biashara maana pamefsi lami mpya hii iendayo Kunduchi. Mkuu hapa hamna mafuliko na tena kwa kipindi hiki ni vzr ukipata nafasi tuwasiliane uje ujionee mwenyeweHii ya zamani sana Mkuu sio kidogo. Vp kuhusu mafuriko maeneo hayo hasa kipindi hiki Cha mvua Hali ikoje eneo la tukio?