Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Wenye nafasi zao wanachukua, anakuuliza swali la msingi kabisa kinachokuchekesha nini,ww bado unacheka,huna hela waachie wenye nazo wachukue mzigo.
Ni bilioni 1 na chenchi kidogo utapata
Nacheka nnafuraha masikini tunatoa mawazo tu tangazo liboreshwe hivi vile wakati wenye mijihela yao fasta wanakamata fursa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ masikini bhana utatujua tu. Masikini mwenzetu mwingine babukijana umejitokeza na wewe. Masikini tupo wengi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi sina hiyo hela hapo, wala sijadili nna banda langu la kuuzia nyanya linantosha
Ila nikiamua hiyo nachukua tu kimyakimya.
 
Na ukiona hawaijui ununio then jua hata hela ya kununua nyumba hio watakua hawana.
Sidhani mkuu ila unajua ushauri wake ni mzuri maana kuna watu wako nje ya dsm na wanataka kuwekeza ila maeneo mengi ya mji hawayafahamu.

Ila yote kwa yote mawazo na ushauri wa kila mmoja kwangu ni mzuri sana na nimeupokea ipasavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usijali kabisa kwani karama na moyo uliokuwa nao ni tofauti na wengine kila mtu naalivyojaliwa na Mungu.mimi binafsi nasema Mungu akubarikie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu kwa ushauri huu nami natopokea na tupo pamoja kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume unajichekesha kwa kuweka vi-emoji vya kucheka cheka unakuwa Kama mjinga vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kweli maskini anakuwaga na ushauri mwingi sana. Mtu kama una hela si ishu tu ya kuzama pm kwa jamaa mnaelekezana. Kweli kuna njia kibao za kumjua mlala hoi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ununio??? Muulize Roma alivyokaa kwenye hayo majumba. Kule waende wenyewe wenye bastora na pingu tu. Hatutaki ununio. Sina hata senti hata hivyo.
 
Tatizo la Dodoma ...watu wanaitengeneza ya kufikurika,Kisasa imekuzwa Kama vile Ni pazuuuri,ilhali Ni pa kawaida Sana...Elfu 85 unanunua viwanja 8 Ihumwa vikubwa na vizuri sana,au 6 Mlimwa C kwa Waziri mkuu ambako Ni kuzuri kuliko Kisasa.

Kawaida kawaida kabisa, anaongea as if anaishi pekeake Dodoma.
 
Na ukiona hawaijui ununio then jua hata hela ya kununua nyumba hio watakua hawana.
Hiyo conclusion ni hatari kibiashara! Ni hatari kwa sababu Ununio sio mtaa bali ni kitongoji, na kwa maana hiyo Ununio ni kubwa!!

Mtu anayeweza kuifahamu Ununio yote ni mkazi wa miaka mingi wa Ununio na sio anayeenda Ununio mara moja moja au mpita njia labda kama unataka kusema wenye hela wote wanakaa Ununio!

So, utakuwa sahihi endapo tu wenye hela wote wanakaa Ununio!!

Na hata huyo anayeifahamu Ununio yote bado atataka kufahamu Ununio sehemu gani!

Kwa mfano tukichukulia pale ilipo Shule ya Kiislamu na kule liliko Soko la Samaki... zote si zipo Ununio zile?! Hivi unaamini maeneo haya mawili yanaweza kuwakilisha interests sawa za mnunuzi?!

Tuache Ununio na twende sehemu ambayo majority watakuwa wanaifahamu!

Tukisema Makao Makuu ya Simba Sports Club yapo Kariakoo na Msikiti wa kwa Mtoro upo Kariakoo tutakuwa tumekosea?!

Unaamini interests zilizo yalipo HQ ya Simba SC ni sawa na kule kwa Mtoro?!

Ukitangaza unauza nyumba Kariakoo utamshangaa mtu atakayeuliza Kariakoo sehemu gani?!

Let's be serious bhana! Mi mtu hata akinitangazia kijijini kwetu anauza nyumba lazima nitataka kufahamu ni sehemu gani; seuze Ununio!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…