Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Inavyumba v3 kimoja master public toilet dining sitingrom na jiko ukubwa wa uwanja 800 SQM

bei ml 180

Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20200929-WA0244.jpg
IMG-20200929-WA0241.jpg
IMG-20200929-WA0239.jpg
 
Elezea vizuri Boko beach Ndiyo wapi maana hakunaga hiyo labda ungesema kondo au Ununuo
 
Elezea vizuri Boko beach Ndiyo wapi maana hakunaga hiyo labda ungesema kondo au Ununuo
Mkuu boko beach ni ununio upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo njia hii ya ununio. Ila unaweza kunipigia simu kwa maelekezo na ufafanuzi zaidi.
 
Kiwanja kinauzwa kigamboni Dege

Kiwanja kipo jirani kabisa na magorofa ya Dege beach
kina ukubwa wa 650 SQM
Kimepimwa.
1.5km kutoka kwenye lami
Bei 12.5m

Maongezi zaidi 0756060183
 
Nyumba inapangishwa laki 350000 inavyumba v3 apartment zipo 2 nyumba yapili kutoka lami nyuma yakibo

Mawasiliano zaidi 0756060183

IMG-20201004-WA0104.jpg
IMG-20201004-WA0103.jpg
IMG-20201004-WA0102.jpg
 
Make up your mind. Ni vyumba viwili ama vitatu.
 
Eneo liwe limefes lami inayoaanzia mandela Road hadi Tabata Segerea bus stand.

Ukubwa kuanzia heka moja na lifae kwa ajili ya kuweka kituo cha mafuta yaani petrol station.

Bajet 800m kushuka chini.

Mawasiliano zaidi 0756060183
 
Nyumba ni ya zamani kidogo na inahitaji matengenezo kama itakavyoonekana kwenye picha.
Ukubwa wa kiwanja ni 1200 SQM.panafaa makazi na biashara pia maana kiwanja kimefes kwenye Lami iendayo Kunduchi.

Bei 350M
Maongezi zaidi na kuhusu ofa yako unaweza kunipigia kwa 0756060183

IMG-20201006-WA0004.jpg
IMG-20201006-WA0007.jpg
IMG-20201006-WA0006.jpg
[ATTACH type="full"
 

Attachments

  • IMG-20201006-WA0001.jpg
    IMG-20201006-WA0001.jpg
    40.6 KB · Views: 7
  • IMG-20201006-WA0005.jpg
    IMG-20201006-WA0005.jpg
    88.8 KB · Views: 6
Enzi za jk ungeuza milioni 700 kweli namba zinasomeka
 
Bei nzuri sema hela hizi dah [emoji3]
 
Back
Top Bottom