dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #481
Ipo mkuu na karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo mkuu na karibu sana
Picha zipo mkuuuPicha zimepigwa kiwizi wizi...
Ndio mkuu 180m ila bei hii ina maongezi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]180
Iko jirani tu mkuu kama nusu kilomita utakuwa umefika mwambao..karibu uone nyumba then nitakupeleka pia ukatembelee ufukweni ijionee mandhali mazuri ya Nchi yetuBeach iko wap
Mkuu boko beach ni ununio upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo njia hii ya ununio. Ila unaweza kunipigia simu kwa maelekezo na ufafanuzi zaidi.Elezea vizuri Boko beach Ndiyo wapi maana hakunaga hiyo labda ungesema kondo au Ununuo
Yako vzr mkuu karibu one nyumbaMbona mazingira yake ya nje hayavutii?
Ni 3 mkuuMake up your mind. Ni vyumba viwili ama vitatu.
Umeona eeh mkuuEnzi za jk ungeuza milioni 700 kweli namba zinasomeka