Bei kwa sasa zimeshawekwa. Kazi kwenu watejaWenzako wanaofanya matangazo kama haya wanaweka na bei kabisa maana wanajiamini ubora wa bidhaa zao pamoja na convising price. Kitendo cha kuweka namba za simu ili tukuulize hakina afya kabisa kinaondoa kutokujiamini kwako na bidhaa unazotangaza halafuuu!!! unatuwekea instagramu kwani sisi ni Mangekimambi?
Weka na bei zake tujue. .
Weka bei
Mkuu ndii hii unayoona pichani
Mkuu ndii hii unayoona pichani
Mkuu kuwa makini na hizo sony, nyingi ni kopi sikuhizi. Ukitaka kuamini hilo angalia tu hio subwoofer na deki yake ilivyo.Nimeikubali bei yako iko poa sana, ila swali langu bado hujajibu. Je ina HDMI?