SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
Wenzako wanaofanya matangazo kama haya wanaweka na bei kabisa maana wanajiamini ubora wa bidhaa zao pamoja na convising price. Kitendo cha kuweka namba za simu ili tukuulize hakina afya kabisa kinaondoa kutokujiamini kwako na bidhaa unazotangaza halafuuu!!! unatuwekea instagramu kwani sisi ni Mangekimambi?
Bei kwa sasa zimeshawekwa. Kazi kwenu wateja
Weka na bei zake tujue. .
 
Kwa wale wanaohitaji ma generator
2cc03c31b396f7aa32fcb87c12dccddc.jpg
44bc8312f22f1883ad1dada1228c1c08.jpg
7e45fad9f923b57f7c54e40db42b409b.jpg
1e7aa2753f6a384d16747518621c7909.jpg
3b1fd5b233568ca273a9c731ae7a5c8f.jpg
a07f712355b974c193f607724844610f.jpg
42ee40a2de0da699a676fdaf09686226.jpg
 
Wakuu , kwa wale wa Dar mnaweza mkafanya malipo kwa njia ya instalments (yaani kuwekesha)

Unakuja dukani, unachagua kile kitu unataka halafu unalipia kidogo kidogo kwa muda tutakao kubaliana then baada ya kumaliza unachukua mzigo wako.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuja dukani au tukaongea kwa simu.

Karibuni sana Wakuu
 
Nahitaji fridge ya bei ndogo kuliko zote hapo dukani kwako. Naomba na picha yake.
 
Nimeikubali bei yako iko poa sana, ila swali langu bado hujajibu. Je ina HDMI?
Mkuu kuwa makini na hizo sony, nyingi ni kopi sikuhizi. Ukitaka kuamini hilo angalia tu hio subwoofer na deki yake ilivyo.

Subwoofer ya Sony OG huwa ina kitovu katikati. Usipokiona hiko kitovu basi juwa unauziwa mziki feki. Hata kupiga haupigi bass sawasawa kama Original. Mi nmevalishwa hio theatre dav dz 650 iko hivyo hivyo.

Hakikisha mzigo ni made in malaysia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom