Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mwl.RCT Unahitaji picha na Bei za TV au air Cooler? Kama ni bei za TV kama ulivyouliza mwanzo basi ni kama unavyoona hapa chini nimekupa list ya bei ya 43" brand mbalimbaliJe ni kiasi gani?
Naomba picha
Hivi karibuni nitakutembelea ili kuchukua bidhaa chache.
Ahsante sana.
Fridge la boss mlango mmja naomb pcha zake na bei mkuuFridge aina gani unataka mkuu? Brand gani na ya sifa gani?
Bei mkuu ya hizo mikito.Powerful Sound![]()
![]()
Duuuh m nmechoka kuulza ss mana swali lang halijbiwa mara ya tatu hiiFridge la boss mlango mmja naomb pcha zake na bei mkuu
Philips pass ni bei gan mkuu?Utakachopenda hapo Tafadhali niulize bei mara moja nami nitakujibu.
0717016789
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu hapa mwisho kabisa sijaelewa hii DAV DZ 950 bei yake ni pamoja na hizo za chini yake au?DAV-DZ 140. - 355,000/-![]()
DAV-DZ 350 Price - 565,000![]()
DAV-DZ 650 Price 680,000![]()
![]()
DAV DZ 950 price 885,000![]()
![]()
Bei ndio kama hvyo. Karibu sana mkuu.