SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
LG TV's

24" - 360,000
32" - 530,000
43" - 870,000
1. Je hii LG 43" ni smart TV??

2. Na kati ya hizi, ipi ina ubora mkubwa wa picha??
  • 43" - Mo Electronics
  • 43" - Star - X. TV's
  • 43" - TCL
  • 43" - LG
 
Kitovu kipi hapo mkuu unachokisemea????
 
Mkuu kwenye sony hapo hakuna kopi na unapata warranty ya miaka Miwili. Tatizo mnauziwa kopi kwa sababu mnapenda sana kupunguziwa bei , ukifika kariakoo ukalia sana shida mtu anachukua pesa yako ila anakupa kopy.
 
1. Je hii LG 43" ni smart TV??

2. Na kati ya hizi, ipi ina ubora mkubwa wa picha??
  • 43" - Mo Electronics
  • 43" - Star - X. TV's
  • 43" - TCL
  • 43" - LG
Mkuu Mwl.RCT

Hiyo LG 43" Sio smart.

Lakini pia watu wengi kwenye swala la Ubora wa picha tumetofautiana. Watu wengine husema LG au wengi wanaweza kukushauri LG lakini kwangu mm nijuavyo kama mtu nayeziuza, ubora wa picha hutokana na uwezo wa kitu na kwenye hizi brand tatu ulizo list hapo zinafanana kwa uwezo wa ubora wa picha.(HD LED TV).. Itategemeana tu na settings.

Hivyo kwa kukushauri hapo nakushauri TCL kwani ni HD LED na Pia ni Smart TV. na ni imara kutokana na feedback mbalimbali

Karibu sana Mkuu ukihitaji kitu chochote kutoka kwetu
 
Mkuu kwenye sony hapo hakuna kopi na unapata warranty ya miaka Miwili. Tatizo mnauziwa kopi kwa sababu mnapenda sana kupunguziwa bei , ukifika kariakoo ukalia sana shida mtu anachukua pesa yako ila anakupa kopy.
Copy zipo mkuu sema huzijui lbda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…