SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
Je ni kiasi gani?
Naomba picha
Hivi karibuni nitakutembelea ili kuchukua bidhaa chache.

Ahsante sana.
Mkuu Mwl.RCT Unahitaji picha na Bei za TV au air Cooler? Kama ni bei za TV kama ulivyouliza mwanzo basi ni kama unavyoona hapa chini nimekupa list ya bei ya 43" brand mbalimbali

TCL Smart 43" - 850,000

Samsung 43" Smart TV - 1,350,000

LG 43" - 870,000

Star-X 43" - 740,000

Mo-electro 43" - 780,000

Na Air Cooler bei yake ni 280k kama hiyo inayoonekana kwenye picha hapo juu

Karibuni sana.
 
Majiko ya Umeme ya kisasa. Hayatumii umeme mwingi, yanatumia umeme kidogo sana. Bei yake ni 85,000. Karibuni sana
 
RECHARGABLE FAN.
Feni hii ya kisasa unaweza kuichaji kama simu na ikabakia ikiwaka baada ya huu umeme wetu wa kitanzania kukatika..

Feni hii pia ina Taa kama mnavyoona.

Jipatie feni hii kupambana na hili joto hasa la dar es salaam linaloendelea sasa hvi.

Karibuni sana.

Bei yake ni 120,000/- (RECHARGABLE Fan)
 
Mashine ya Kufulia ya kisasa kabisa Kg 6

Bei yake ni 1,080,000
 
Wakuu habari za asubuhi.
Kumekucha tena na karibuni kujipatia bidhaa mbalimbali
 
Food processor , jipatie kwa 300,000
 
Jipatie Muziki mnene huu kwa bei poa ya 940,000




 
Mashine ya kunyolea original kabisa , jipatie kwa 100,000
 
DAV-DZ 140. - 355,000/-



DAV-DZ 350 Price - 565,000

DAV-DZ 650 Price 680,000

DAV DZ 950 price 885,000



Bei ndio kama hvyo. Karibu sana mkuu.
Mkuu hapa mwisho kabisa sijaelewa hii DAV DZ 950 bei yake ni pamoja na hizo za chini yake au?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…