SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
Mkuu hapa mwisho kabisa sijaelewa hii DAV DZ 950 bei yake ni pamoja na hizo za chini yake au?
Mkuu mimi sijaelewa swali lako ila hiyo DAV-DZ 950 Bei yake ni 885,000. Na ndio hiyo hapo kwenye picha au kama unataka picha na specifications zaidi unaweza kunitafuta au pia unaweza kugoogle.
 
Duuuh m nmechoka kuulza ss mana swali lang halijbiwa mara ya tatu hii
Mkuu nisamehe bure. Ila boss mlango mmoja bei yake ni 390,000.. picha nitakutumia mkuu. Samahani sana
 
Unafanya biashara na usiyemjua? Huoni kazi bure, Mimi Niko muleba naomba uniletee ndo nikutumie hela
 
KAKA MIMI NINA SONY DZ 350,SPIKA MBILI ZIMEKUFA.UNAWEZA KUNIUZIA SPIKA MBILI NDEFU?
 
Hyo 300k sipati?
 
Dah mkuu umedokeza issue muhim sana hebu tupia picha ya deki ya og mkuu utatusaidia sana
 
Unafanya biashara na usiyemjua? Huoni kazi bure, Mimi Niko muleba naomba uniletee ndo nikutumie hela
Mkuu biashara hii tumeifanya na watu wengi, na bado tunaendelea kuifanya kwa uaminifu mkubwa na uhakika.. na wala hata hatufahamiani na watu wala hatuhitaji kujuana ila tunatumiana pesa na mizigo kama kawaida.. KARIBU SANA
 
Hii home theater bei gan mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…